Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wa awamu ya 5 akiri zao ndio hiziSafi sana, huyu Lissu akiinama mshale, akisimama mshale akichuchumaa hivyo hivyo hadi atambue kuwa watanzania hawampendi
Nchi tumeikabidhi kwa washamba na malimbukeni. By Zitto KabweNi Makamba ama Zitto aliyetoa statement hiyo? I can't recall. Ila nakumbuka Januari Makamba naye aliandika mudhui kama hayo kwenye twitter
Tatizo ni pale, Habari inayohusu upinzani tu, ndo inaonekana kuvunja kanuni! Kwanini Musiba na Tanzanite yake hawaonekani kuvunja kanuni, wakitukana na kuzushia watu!?Kila mtu atimize wajibu wake kutokana na matakwa ya sheria TCRA aendelee kudhibiti na vyombo vya habari vitajifunza kuwakumbusha wengine wanaowapa contents kuhakikisha uwasilishaji unazingatia sheria za Tanzania wakifanya ivyo hakuna ataesumbuliwa.
Unajua tatizo ni wana siasa ndio wanaoenda kupotosha malengo halisi nyuma hizi sheria. Mimi nakumbuka enzi za JK unakuta gazeti lina kichwa cha habari ukurasa wa mbele ‘Mama ajifungua chatu’ na picha ya mwanamke na chatu inawekewa na story inaweza trend kwenye social media.
Ziko wapi artickes kama hizo leo ni sheria kama hizi na kulazimisha ethics ndio watu watabadilika vyombo vya habari aviwezi kujirushia habari kwa utashi lazima kuwe na regulations.
Ngoja tuwape muda wahusika ukute wanafuatilia YouTube kuna channel luluki za watanzania ambazo uwasilishaji wake utata.Tatizo ni pale, Habari inayohusu upinzani tu, ndo inaonekana kuvunja kanuni! Kwanini Musiba na Tanzanite yake hawaonekani kuvunja kanuni, wakitukana na kuzushia watu!?
Mkuu umepanick.Wewe ni mpumbavu.Hii siyo solution.Solution ni kuikataa hii serekali ya hovyo kwa sababu wataendelea kutunga sheria za kumdhibiti yeyote anaetafuta njia mbadala!
Tatizo la sheria kandamizi, ni siku CCM watakua wapinzani!Ngoja tuwape muda wahusika ukute wanafuatilia YouTube kuna channel luluki za watanzania ambazo uwasilishaji wake utata.
Muhimu ni kuanza na mainstream media zenye audience ya millions at anytime.
Mkuu unamanisha ata wazanzibar waluopigwa risasi na Serikali ya Mkapa chanzo ni vyombo vya nje?Mkumbuke tu, vyombo vya habari hasa vya nje ya nchi ndio huwa chanzo cha machafuko na kutoweka kwa amani katika mataifa mengi duniani hasa Africa, hii ni hatua nzuri kudhibiti mitafaruku inayotarajiwa kutokea...
Na tunaomba serikali ifungie na mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter.
Hebu jiulize, hivi wakati Jiwe anawatuhumu wapinzani kuwa watavunja madaraja aliyojenga yeye iwapo wananchi watawapa kura na kuingia madarakani, je vyombo vya habari vilikwenda kuwahoji viongozi wa upinzani kabla ya kuzitangaza?Sasa jamani mtu au stesheni ya utangazaji ikikosea wasiulzwe eti tu walikuwa wakimhoji Lissu au walikuwa wakirusha habari za Lissu!? Tuelewane TCRA watamhoji yoyote hata kama akiwa anamhoji Rais Magufuli as long akama atakuwa amevunja sheria husika. Vinginevyo ni vurugu tu.
Kila mwaka wa utawala wa awamu ya tano unaweza kupewa msamiati mpya. Kwa maana ya "social dilemma"Aisee... inabidi mkono wa Mungu uingilie kati, maana yajayo hayafurahishi!
Kunakiongozi mmoja aliseme hofu ni mbaya kuliko ugojwa,Hebu wewe @mukmukarika Mzee hivi wakati Jiwe anawatuhumu wapinzani kuwa watavunja madaraja aliyojenga yeye iwapo wananchi watawapa kura na kuingia madarakani, je vyombo vya habari vilikwenda kuwahoji viongozi wa upinzani kabla ya kuzitangaza?
Hii nchi inakokwenda kwa sasa ni kubaya sana!
MkuuSafi sana, huyu Lissu akiinama mshale, akisimama mshale akichuchumaa hivyo hivyo hadi atambue kuwa watanzania hawampendi
Malengo yamewekwa wazi ikiwa ni impartiality: na wame elezewa ni kwa namna zipi uwasilishaji utakuwa umevunja kanuni.Tatizo la sheria kandamizi, ni siku ccm watakua wapinzani!
Hiyo habari yenyewe hao viongozi wako wa serikali, kina Dkt Abbas, wanafunga simu zao kwa kukwepa kuulizwa maswali.............Ujinga tu! Nchi gani ambayo haina mizania ya utoaji habari? Tatizo ni watu kama wewe na wenye waandishi Kanjanja. Vijana wa BBC nao hoi kuna wakati wanakuwa mashabiki wa habari za nyumbani bila kuheshimu sheria.
Naungana na wewe ndugu. Mie mwaka huu hata kupigwa risasi tu acha nipigie. Imetosha. Tanzania tumefika a point of no return . ImetoshaMtu wa kwanza wa kulaumiwa ni mimi,wewe na yule kwa kukaa kimya dhidi ya serekali hii ya ovyo!
Zilitungwa na bunge Wakati Lisu akiwa mbunge na chadema wakiwa wabunge kwenye kipindi Cha Bunge la 2015-2020Hizi sheria alie zitunga Yesu amsamehe tu
Mkuu Tanzania si nchi ya kishamba Ila washamba ni hawa viongozi wetu wa awamu hii and we have all the power ya kuwatoa either kwa kura au kwa nguvuHii ni nchi ya kishamba sana mpaka wengine tunaona aibu kujiita watz kwa uongozi huu wa hovyo sana