Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Mtafute mtanzania aliesomea media studies au journalism UK akuelezee regulations zao; sisi bado sana ndio kwanza tuna baby steps.Kule hakuna kanuni za hovyo kama hizi za ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute mtanzania aliesomea media studies au journalism UK akuelezee regulations zao; sisi bado sana ndio kwanza tuna baby steps.Kule hakuna kanuni za hovyo kama hizi za ccm
Issue sio kupost bali unapost kitu gani? Na outcome zake ni zipi?Huu upuuzi wako uliouandika ungeupostia wapi kama na social media nazo unataka zifungiwe ?!
Ushindi ni lazima tunajua Kwa nguvu ya dola lakini mtambue tu uchaguzi huu utamtia doa rais magufuri hadi anakuja kutoka madalakani mengi tutayasikia yote aliyoyaficha Kwa kipind cha miaka 5 wanainch wanataka kuyasikia kwanini mtumie nguvu kubwa kuzuiaHahaha...kama uliambiwa Taifa ni wewe na mmeo ulidanganywa, hupendi kitu the majority wanapenda na huko na amani nacho dawa ni kuhama nchi, hiyo ndo demokrasia, majority rules, kama huko na uhakika sana October sio mbali, JPM hatopata chini ya 90% ya kura zote.
Labda wahusika wa maswala ya ulinzi wa Tanzania wamejifunza huko kwao mabeberu wanavyoweza punguza hathari zinazotokana na media kwenye kuhatarisha amani na umoja wao wakati sisi huku wanataka media zetu zifanye kazi kiholela na kuatarisha usalama wetu.
Lissu anavyowakera naona mtafunga kila kitu sasaIssue sio kupost bali unapost kitu gani? Na outcome zake ni zipi?
Joselela, mlitaadharishwa mapema!!. Wakitumaliza sisi .......Issue sio kupost bali unapost kitu gani? Na outcome zake ni zipi?
Tena imehurumiwa sana vile haijafungiwa kitambo, yule kilaza wao Samwel Awami anojikuta leo Muzungu na elimu yake ya taabu ya Umoja Sekondari amekuwa akikiuka miiko kila uchao na anafanya kwa maslahi ya mabwana zake, mtafurahi.BBC kwa mara ya kwanza toka nimezaliwa inakwenda kupigwa marufuku sijajua kwa nini huu utwawala licha ya kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati kabla ya wakati,kukusanya kodi kuliko serikali zote,kujenga miundombinu kuliko serikali zote,kumaliza ufisadi kuliko serikali zote bado wanakuwa waoga wa chama dhaifu na kilichojifia kama CHADEMA
Harafu nikisikia watu wanasema Huyu jamaa ni Raisi wa wanyonge,huwa nawaona Kama vichaa,TCRA imekituhumu kituo cha utangazaji cha RFA kukiuka kanuni na maadili ya utangazaji kupitia kipindi cha 'amka na BBC' kwa kurusha maudhui bila kuzingatia mizania ya habari walipokuwa wanamuhoji Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu juu ya viongozi wa chama hicho kutoshiriki kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa hayati Benjamin Mkapa.
TCRA imesema mtangazaji wa kipindi aliruhusu kurushwa habari iliyoegemea upande mmoja kwa Lissu kutoa tuhuma na kulalamika kuwa serikali ilimnyima nafasi ya kutoa heshima za mwisho bila kumtafuta msemaji wa serikali ili aweze kutolea ufafanuzi tuhuma hizo.
RFA wanatuhumiwa kukiuka kanuni Na. 15(2)(b) na (c) na 16 za mawasiliano ya kielektroniki na Posta(Maudhui ya Utangazaji na Televisheni) 2018.
Saa 5 asubuhi ya tarehe 10 Agosti, 2020 itakuwa ukomo kwa uongozi wa RFA kufika ofisi za makao makuu ya TCRA zilizopo Dar es Salaam kutoa utetezi wao katika shauri dhidi yao wa kimaandishi na kufika mbele ya kamati kujieleza kwanini kituo chao kisichukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka kanuni za huduma ya utangazaji.
Tutahamia huko tena.Acha tu, inabidi wanajf tuanze kuambiana ni mtandao gani tutahamia wakitupiga pini. Nakumbuka mara ya mwisho walivyoleta mizengwe tulihamia Kenya Talk.
Mkumbuke tu, vyombo vya habari hasa vya nje ya nchi ndio huwa chanzo cha machafuko na kutoweka kwa amani katika mataifa mengi duniani hasa Africa, hii ni hatua nzuri kudhibiti mitafaruku inayotarajiwa kutokea...
Na tunaomba serikali ifungie na mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter.
Kama walivyoifunga jamii forum 2015Tutarajie internet kuzimwa wakati wa uchaguzi
Na bando watapandisha pia kwa kuwabana wamiliki wa mitandao ili watu wasifike kiulaini.Social networks tatizo wengi hawana Smart phones. Bando pia ni tatizo.
CCM mjiandae kwa yajayo, mmefanya vibaya sana mkifikiri watu ni wajinga sasa msubiri hukumu yenu October.Hakuna kaburi wala ujinga gani, we unamuitaje kichaa mmoja ambaye anatapika utumbo bila mtu wa ku respond?? Huyo alisema kuna corona hawezi kufika mahakamani au kurundikana na watu, huyo huyo alipokewa na watu na wakasakata rumba na kunywa ma konyagi mpaka asubuhi, huyo huyo akataka kwenda kurundikana na sisi pale uwanjani bila kukumbuka kama alikuja na libarakoa lake akalivua, huyo huyo alitaka kiprotokali eti awe wa mwisho kuingia uwanjani baada ya mhe Rais !! Yeye ni nani nchi hii?? Hatukubali u.t.a.a..hi.r.a wake aupeleke huko, na waliompa airtime wachukuliwe hatua kali
Hapa watu walivyokuwa addicted na JF siku ikizimwa members tutaumwa sononaKama walivyoifunga jamii forum 2015
Ujinga tu! Nchi gani ambayo haina mizania ya utoaji habari? Tatizo ni watu kama wewe na wenye waandishi Kanjanja. Vijana wa BBC nao hoi kuna wakati wanakuwa mashabiki wa habari za nyumbani bila kuheshimu sheria.Hii nchi iko chini ya utawala wa kishamba sana, huu ubabe peleka nyumbani kwa familia yako.
Kitu gani tusichokijua? mnaosemea annual increment? kwani sisi watumishi hatujui maana ya kufunga mikanda? nchi hii sio yetu wafanyakazi pekee, kama hajaongeza mishahara na katuomba tufunge mikanda na tunaona pesa inakoenda kutumika ni kule ambako kunaenda kunufaisha watanzania wote ikiwemo wakulima, wafugaji na wafanyabiashara, haiendi mifukoni mwa wachache, sisi ni nani hata tusielewe kwamba haya yanayofanywa ni makubwa zaidi ya hizo nyongeza za mishahara kwa tabaka la wachache? Meli tutapanda sote, train tutapanda sote na umeme tutatumia wote, mahospitali, zahanati na vituo vya afya tutavitumia sote, keki hii ndogo ya Taifa lazima tuifaidi kwa pamoja, miaka yote hiyo hujapata sikia mkulima akiongezewa mshahara, wafanyakazi tumeelewa na tumefunga mikanda.Ushindi ni lazima tunajua Kwa nguvu ya dola lakini mtambue tu uchaguzi huu utamtia doa rais magufuri hadi anakuja kutoka madalakani mengi tutayasikia yote aliyoyaficha Kwa kipind cha miaka 5 wanainch wanataka kuyasikia kwanini mtumie nguvu kubwa kuzuia
Tutahamia huko tena.
ukisikia "impunity" ndiyo hii sasa.TCRA imekituhumu kituo cha utangazaji cha RFA kukiuka kanuni na maadili ya utangazaji kupitia kipindi cha 'amka na BBC' kwa kurusha maudhui bila kuzingatia mizania ya habari walipokuwa wanamuhoji Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu juu ya viongozi wa chama hicho kutoshiriki kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa hayati Benjamin Mkapa.
TCRA imesema mtangazaji wa kipindi aliruhusu kurushwa habari iliyoegemea upande mmoja kwa Lissu kutoa tuhuma na kulalamika kuwa serikali ilimnyima nafasi ya kutoa heshima za mwisho bila kumtafuta msemaji wa serikali ili aweze kutolea ufafanuzi tuhuma hizo.
RFA wanatuhumiwa kukiuka kanuni Na. 15(2)(b) na (c) na 16 za mawasiliano ya kielektroniki na Posta(Maudhui ya Utangazaji na Televisheni) 2018.
Saa 5 asubuhi ya tarehe 10 Agosti, 2020 itakuwa ukomo kwa uongozi wa RFA kufika ofisi za makao makuu ya TCRA zilizopo Dar es Salaam kutoa utetezi wao katika shauri dhidi yao wa kimaandishi na kufika mbele ya kamati kujieleza kwanini kituo chao kisichukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka kanuni za huduma ya utangazaji.
Serikali haingozwi kwa historia bali kwa kila kiashiria ambacho kinaweza kuhatarisha usalama na amani ya nchi yetu.Tangu tumepata uhuru mbona havijawahi kuleta machafuko siku zote machafuko hutokana na ukandamizaji wa seriakali zilizo madarakani siyo vyombo vya nje. Wakati utaongea tu ikiwezekana wafute vyombo vyote binafsi wabakize TBC hakuna shida yoyote maisha yataendelea tu.