Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Dawa ni kumwomba Mungu atuepushe na utawala huu aisee kwa style hii tutakuja kuwa na hali mbaya kwa kila nyanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatupeleka Zimbabwe bila huruma!
Huyu mtu atakumbukwa kwa lipi akifariki?Wameambiwa na TCRA ni marufuku kwa vituo vya Radio na Tv za ndani kujiunga na hayo mashirika ya nje bila kupata kibali. Kazi kweli kweli, yaani ni pini kwa kwenda mbele kuelekea uchaguzi.
Sawa kabisa wafunge na ubalozi wa Marekani maana ndio washenzi kabisa wafunge pia misikiti na makanisaMkumbuke tu, vyombo vya habari hasa vya nje ya nchi ndio huwa chanzo cha machafuko na kutoweka kwa amani katika mataifa mengi duniani hasa Africa, hii ni hatua nzuri kudhibiti mitafaruku inayotarajiwa kutokea...
Na tunaomba serikali ifungie na mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter.
Ndio tunakoelekea.Mkumbuke tu, vyombo vya habari hasa vya nje ya nchi ndio huwa chanzo cha machafuko na kutoweka kwa amani katika mataifa mengi duniani hasa Africa, hii ni hatua nzuri kudhibiti mitafaruku inayotarajiwa kutokea...
Na tunaomba serikali ifungie na mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter.
Kura kwa Lisu tuTCRA imekituhumu kituo cha utangazaji cha RFA kukiuka kanuni na maadili ya utangazaji kupitia kipindi cha 'amka na BBC' kwa kurusha maudhui bila kuzingatia mizania ya habari walipokuwa wanamuhoji Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu juu ya viongozi wa chama hicho kutoshiriki kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa hayati Benjamin Mkapa..
Zilitungwa na bunge Wakati Lisu akiwa mbunge na chadema wakiwa wabunge kwenye kipindi Cha Bunge la 2015-2020
Zilitungwa kipindi cha yule kiongozi ambaye viongozi wa upinzani hunukuliwa wakisema kuwa wame-mmiss. Tena ilipitishwa usiku wa manane.Hizi sheria alie zitunga Yesu amsamehe tu
Nani kakwambia wanadhibiti??? Ushawai jifungia ndani na paka alafu ukaanza kumpiga????Ndio tunakoelekea.
Kwani wewe umenielewa vipi.? Naona umeniattack tu.Nani kakwambia wanadhibiti??? Ushawai jifungia ndani na paka alafu ukaanza kumpiga????
Ndo wanachokifanya magufuli na vyombo vyake. Majibu watayapata siku si nyingi.
Narudia tena kwa msaada wa wale msioelewa, balancing ni kwenye mahojiano tu, narudia tena ni kwenye mahojiano tu siyo kwenye NEWS jamani!Hebu jiulize, hivi wakati Jiwe anawatuhumu wapinzani kuwa watavunja madaraja aliyojenga yeye iwapo wananchi watawapa kura na kuingia madarakani, je vyombo vya habari vilikwenda kuwahoji viongozi wa upinzani kabla ya kuzitangaza?
Hii nchi inakokwenda kwa sasa ni kubaya sana!
Tutaipambania tuirudishe nchi yetu nzuri..... Ndio maana mpakwa mafuta anaendelea kuchanja mbuga. Lazima tuikomboe nchiHama nchi.
Kabisa mkuu.... Umenena vema ila ushamba wetu ni pale tunapofumbia macho mambo yote machafu......Mkuu Tanzania si nchi ya kishamba Ila washamba ni hawa viongozi wetu wa awamu hii and we have all the power ya kuwatoa either kwa kura au kwa nguvu
Wameambiwa na TCRA ni marufuku kwa vituo vya Radio na Tv za ndani kujiunga na hayo mashirika ya nje bila kupata kibali. Kazi kweli kweli, yaani ni pini kwa kwenda mbele kuelekea uchaguzi.