Hahahaaa, hilo halina ubishi.Subiri wale vipofu na viziwi wasiiona wala kusikia kua Kiba ni mkali na anapendwa watakavyokuja kuserebuka kigodoro hapa....lol
Kweli Alikiba anapendwa jamani,
Nimetumia muda wangu wa kupumzika kusikiliza mpambano wa wasanii Radio1 ambapo Alikiba alikuwa akishindanishwa na Ommy dimpoz.
Matokeo ni kwamba katika simu 30 za wasikilizaji waliopiga simu simu 28 wamempa kura Ally K.
Hahahaaa, hilo halina ubishi.Subiri wale vipofu na viziwi wasiiona wala kusikia kua Kiba ni mkali na anapendwa watakavyokuja kuserebuka kigodoro hapa....lol
Hahahaaa, hilo halina ubishi.Subiri wale vipofu na viziwi wasiiona wala kusikia kua Kiba ni mkali na anapendwa watakavyokuja kuserebuka kigodoro hapa....lol
Mimi tena? Naanzaje kukosekana sasa?Hahaha nilijua tu kwenye hii threat siwezi kukukosaa lol
Hahahaaa, umewaona lakini?Haaaaa...umenipa raha sana! Asante
Ngoja nikukumbushe ya Diamond maana naona umesahau.Ilikua hivi...Kumbe kamshinda dimpoz... Ndo mmeamua kufanya sampling kabisa
Haha