Radio One: Ally Kiba mkali

Radio One: Ally Kiba mkali

Teh Teh mkali wa radio

Zamani nilikuwaga nakuheshimu wewe hadi naogopa hata kuargue na wewe ila siku hizi dah nakuona ka mlevi mwenzangu tu! Teh! Teh!

Chukua likizo loya uachane na kushabikia udaku walau kwa muda.
Ulikuwaga unatema pwenti wewe, yaani ukikosoa unakosoa kweli mpaka haters/fans wanakubali.....vivyo hivyo na ukisifia pia!
Ila sasa hivi mmmmhh nakukubali tu kwenye kumgeza le mutuz!
 
Teh Teh Avemaria happy Tuesday! duu umenionea leo ...sawa bhana lakini nashukuru hiyo comment imekutoa ulipokuwa umejificha..nilikumiss..
 
Last edited by a moderator:
hata mimi nilisikiliza sana mtanange kuna mdau akasema omy d anaonewa kisa hana hadhi ya kushindanishwa na ally k ila ukiangalia ni kweli kiba hana hadhi ya kuwekwa na omy nilitamani sana iwe ni yy na diamond

Mbona walishawakutanishaga hao wawili na diamond km kawa aliambulia za uso chalii
 
Back
Top Bottom