Radio One: Ally Kiba mkali

Radio One: Ally Kiba mkali

Ishemo

Senior Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
194
Reaction score
127
Kweli Alikiba anapendwa jamani,

Nimetumia muda wangu wa kupumzika kusikiliza mpambano wa wasanii Radio1 ambapo Alikiba alikuwa akishindanishwa na Ommy dimpoz.

Matokeo ni kwamba katika simu 30 za wasikilizaji waliopiga simu simu 28 wamempa kura Ally K.
 
Ni king wa radio one nani zaidi hanaga mpinzani kabisa kwenye hizo tuzo haijawahi tokea akakosa
 
Hahahaaa, hilo halina ubishi.Subiri wale vipofu na viziwi wasioona wala kusikia kua Kiba ni mkali na anapendwa watakavyokuja kuserebuka kigodoro hapa....lol
 
Kwani bado anaimba! C alishaachaga kuimba kitambo.
 
Hahahaaa, hilo halina ubishi.Subiri wale vipofu na viziwi wasiiona wala kusikia kua Kiba ni mkali na anapendwa watakavyokuja kuserebuka kigodoro hapa....lol

Hahaha nilijua tu kwenye hii threat siwezi kukukosaa lol
 
Kweli Alikiba anapendwa jamani,
Nimetumia muda wangu wa kupumzika kusikiliza mpambano wa wasanii Radio1 ambapo Alikiba alikuwa akishindanishwa na Ommy dimpoz.
Matokeo ni kwamba katika simu 30 za wasikilizaji waliopiga simu simu 28 wamempa kura Ally K.

ule wimbo wake mpya chekecha sijui umeishia mtaa gani?
 
Hahahaaa, hilo halina ubishi.Subiri wale vipofu na viziwi wasiiona wala kusikia kua Kiba ni mkali na anapendwa watakavyokuja kuserebuka kigodoro hapa....lol

Haaaaa...umenipa raha sana! Asante
 
Hahahaaa, hilo halina ubishi.Subiri wale vipofu na viziwi wasiiona wala kusikia kua Kiba ni mkali na anapendwa watakavyokuja kuserebuka kigodoro hapa....lol

Kumbe kamshinda dimpoz... Ndo mmeamua kufanya sampling kabisa
Haha
 
Mi naona nani zaidi wampe tuzo..... Maana akienda mitaa ya channel O kule wanaweza hisi ni muuza utumbo
 
Kwa nyakati hizi Omari ni mkali kuliko Ali Kibabu, sema Ali kinachombeba ni historia tuu!
 
hata mimi nilisikiliza sana mtanange kuna mdau akasema omy d anaonewa kisa hana hadhi ya kushindanishwa na ally k ila ukiangalia ni kweli kiba hana hadhi ya kuwekwa na omy nilitamani sana iwe ni yy na diamond
 
Back
Top Bottom