Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Teh Teh mkali wa radio
Zamani nilikuwaga nakuheshimu wewe hadi naogopa hata kuargue na wewe ila siku hizi dah nakuona ka mlevi mwenzangu tu! Teh! Teh!
Chukua likizo loya uachane na kushabikia udaku walau kwa muda.
Ulikuwaga unatema pwenti wewe, yaani ukikosoa unakosoa kweli mpaka haters/fans wanakubali.....vivyo hivyo na ukisifia pia!
Ila sasa hivi mmmmhh nakukubali tu kwenye kumgeza le mutuz!
hata mimi nilisikiliza sana mtanange kuna mdau akasema omy d anaonewa kisa hana hadhi ya kushindanishwa na ally k ila ukiangalia ni kweli kiba hana hadhi ya kuwekwa na omy nilitamani sana iwe ni yy na diamond
Mbona walishawakutanishaga hao wawili na diamond km kawa aliambulia za uso chalii
Hii sikuwah kuisikilizakabisa aseee
Diamond kura alizopata kazikuzidi hata 5 mwenzake kaondoka na zote zilizobakia
Achaaaaa aseee
Hahahahahahah mbona diamond kwa kiba anaufyata fyatuu