Texas Tom.
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 510
- 273
Kule jukwaa la dini sioni watu ....Habarrrrr njema kwa wenye matatizo ya vizazi, kwa mara yakwanza katika maisha yangu nilisikia jana kuwa kuna spea za kizazi..... INAWEZEKANA???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule jukwaa la dini sioni watu ....Habarrrrr njema kwa wenye matatizo ya vizazi, kwa mara yakwanza katika maisha yangu nilisikia jana kuwa kuna spea za kizazi..... INAWEZEKANA???
kwahiyo unataka kusemaje?
Kule jukwaa la dini sioni watu ....Habarrrrr njema kwa wenye matatizo ya vizazi, kwa mara yakwanza katika maisha yangu nilisikia jana kuwa kuna spea za kizazi..... INAWEZEKANA???
Ni aibu kwa mwanaJF kusikiliza radio kama hii!
hatuwezi kuendelea kwa kuvumilia umburura!Nothing i hate kama watu wanaopenda kuchokoza au kudharau wengine wanachoamini. Wewe kama hl unaona siyo standard yako usihangaike nalo,wala usiskilize hiyo radio maana kuna ambao ina manufaa kwao. Unatafuta supporter wa kuitukana utapata wengi tu hapa wenye akili kama yako.
Uwezo wa kuvumilia wengine kwa kile wanachoamini ni hekima kubwa na hao ndo magreat thinker.
Ni aibu kwa mwanaJF kusikiliza radio kama hii!
Pole hujui unalonena.
hatuwezi kuendelea kwa kuvumilia umburura!
Hii radio ni ya kipuuzi kama ilivyokuwa desi.
Nyakati za mwisho na manabii wa uwongo!Pole hujui unalonena.
Hamuwezi wewe na nani..........?
Ni aibu kwa mwanaJF kusikiliza radio kama hii!
mie na we hata milele!
Najua wewe ni mkazi wa Arusha