Radio Safina: Mbinguni kuna spea za kizazi hivyo hata kama uliondolewa kizazi utazaa bila kizazi

Texas Tom.

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
510
Reaction score
273
Kule jukwaa la dini sioni watu ....Habarrrrr njema kwa wenye matatizo ya vizazi, kwa mara yakwanza katika maisha yangu nilisikia jana kuwa kuna spea za kizazi..... INAWEZEKANA???
 
Ni aibu kwa mwanaJF kusikiliza radio kama hii!

Nothing i hate kama watu wanaopenda kuchokoza au kudharau wengine wanachoamini. Wewe kama hl unaona siyo standard yako usihangaike nalo,wala usiskilize hiyo radio maana kuna ambao ina manufaa kwao. Unatafuta supporter wa kuitukana utapata wengi tu hapa wenye akili kama yako.
Uwezo wa kuvumilia wengine kwa kile wanachoamini ni hekima kubwa na hao ndo magreat thinker.
 
hatuwezi kuendelea kwa kuvumilia umburura!
Hii radio ni ya kipuuzi kama ilivyokuwa desi.
 
magreat thinker hata siku moja hawabishani juu ya imani ya mtu mwingine, wewe siyo great thinker ndiyo maana unabishana na imani za watu wengine.Heshimu imani za watu wengine wanao amini dini tofauti na ya kwako
 
mie na we hata milele!
Najua wewe ni mkazi wa Arusha

Kwanza nikusahihishe........mimi siishi Arusha.....na kinachokuaminisha kuwa naishi huko sijui ni nini......
Pili.......wewe kama huwezi kuvumilia na kwako ni ya kipuuzi......basi jua kwa wengine ni radio muhimu sana na wanaiheshimu........sio uungwana kuingilia imani ya watu kwa kauli kama yako........
Ni hayo tu......
 
Haya ndio madhara ya matumizi ya pombe aina ya viroba,mkiambiwa muache hamtaki, mimba mchokonoe wenyewe vizazi viharibike eti mungu awape spare.? Nina mashaka na huyo mungu kwakweli... Na kama ni ivyo duniani hakuna dhambi..
 
Kule jukwaa la dini sioni watu ....Habarrrrr njema kwa wenye matatizo ya vizazi, kwa mara yakwanza katika maisha yangu nilisikia jana kuwa kuna spea za kizazi..... INAWEZEKANA???

hizi ndio imani za mateja na wavuta bangi, wekeni mbali na watoto...
 
Back
Top Bottom