Watu wanataka wapige hela wwAiseeee, we ni mkongwe. Mara nyingi huduma huanza vizuri ila baadaye huamka roho ya tamaa na hiyo ndio huwa mwisho wa huduma. Mungu awasaidie
Hatari sana mkuuWizi Mtupu ndugu yangu.
Sikuhizi huo ni Mradi wa Daniel Lema na wenzie
Wanadanganya sana watu kwa lengo LA kupata pesa tu
Yaani wanachosisitiza ni SADAKA TU na wanaandaa watu kutoa shuhuda za uongo...NINA UHAKIKA NA HILI
Wakaona kuwa Mwakasege anapata pesa kupitia semina nao sikuhizi wameanzisha hizi semina na ukiangalia MADA ya semina zenyewe ndugu sio za kumjenga Mtu kiroho
Nimekuwa na Safina tangu enzi za akina Mwabukusi na Luca
Sasahivi SAFINA RADIO ni Mradi wa kupata pesa.
Maombi tumeanza saa tano usiku hadi sasa hivi yanaendelea na ni kila siku.
Sasa hivi ndio mkurugenzi mkuu Daniel Lema kaingia na maombi mengine.
Hapa shetani lazima aombe poo!
Hongereni watu wa Arusha.
Kwa maombi haya huwa mnalala kweli? Tupeane uzoefu.
Watu wengi waliopiga simu na tatizo la ulevi kwa wanafamilia na magonjwa mbalimbali.
DahUsanii tu, juzi juzi mkurugenzi alikuwa India anatibiwa (wao maombi hayawaponyi), Mkurugenzi ni tajiri toka alipokuwa auditor wa beer, Mzee, watoto wamekuwa, ila Ana gorofa zaidi ya 10 Njiro hazijamaliziwa finishing!
Tamaa tu na sadaka za wauza Mbona mboga wasiojielewa; haya mambo magumu sana, Mimi mke wangu akienda huko hatorudi nyumbani kwangu tena! Akae huku huko!
Kwa hiyo hapo unachosikitikia ni kuonyeshwa na camera, sio wanafunzi kukatika!Bora hao star TV wanalikipindi fulani la wanafunzi wanaonyesha wanakatika humo yani michezo mingine tabu tupu..
Hata kama ni michezo wawe wanaangalia na chakuonyesha mbele ya kamera mengine hayafai wale ni wanafunzi na sio wanenguaji.
Mkuu usisahau ile fruto inayouzwa pale eti ni damu ya Yesu na yale maji chumvi na mafuta ..wife wangu aliwahi kwenda uko akapeleka shati langu eti niache pombe. .nilichokifanya nikukanyagia mpaka mwisho wese kama lote mwenye akajizimia fegiUsanii tu, juzi juzi mkurugenzi alikuwa India anatibiwa (wao maombi hayawaponyi), Mkurugenzi ni tajiri toka alipokuwa auditor wa beer, Mzee, watoto wamekuwa, ila Ana gorofa zaidi ya 10 Njiro hazijamaliziwa finishing!
Tamaa tu na sadaka za wauza Mbona mboga wasiojielewa; haya mambo magumu sana, Mimi mke wangu akienda huko hatorudi nyumbani kwangu tena! Akae huku huko!
Na uchungaji na uaskofu alisomea wapi? Hata sauti yake redioni inaonyesha ni mgonjwa.Yani nikitoka nje hapa kwangu “Njiro” Mzee Ana gorofa 3 kali haziishi mtu, watoto wachache wakubwa; bado anajenga na Kukusanya sadaka, amestaafu anaumwa
Acha pombe mkuu unamtesa wife hadi radioni huko ha ha haMkuu usisahau ile fruto inayouzwa pale eti ni damu ya Yesu na yale maji chumvi na mafuta ..wife wangu aliwahi kwenda uko akapeleka shati langu eti niache pombe. .nilichokifanya nikukanyagia mpaka mwisho wese kama lote mwenye akajizimia fegi
Usanii tu, juzi juzi mkurugenzi alikuwa India anatibiwa (wao maombi hayawaponyi), Mkurugenzi ni tajiri toka alipokuwa auditor wa beer, Mzee, watoto wamekuwa, ila Ana gorofa zaidi ya 10 Njiro hazijamaliziwa finishing!
Tamaa tu na sadaka za wauza Mbona mboga wasiojielewa; haya mambo magumu sana, Mimi mke wangu akienda huko hatorudi nyumbani kwangu tena! Akae huku huko!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe huwezi kumzuia mwanamke kwenda kusali ataenda tu
Mimi nilimuona siku moja wife kwenye tv ya mchungaji moja uko kawe anamshukuru Mungu kwa kumaliza ujenzi nikanyamaza tu
Wameshindwa kumuombea mzee wao apone,haluna kitu hapo ni utapeli tu...mama na mtoto ndio wanaponda sadaka kila gari zuri wananunua ....mtoto ni full kula bataUsanii tu, juzi juzi mkurugenzi alikuwa India anatibiwa (wao maombi hayawaponyi), Mkurugenzi ni tajiri toka alipokuwa auditor wa beer, Mzee, watoto wamekuwa, ila Ana gorofa zaidi ya 10 Njiro hazijamaliziwa finishing!
Tamaa tu na sadaka za wauza Mbona mboga wasiojielewa; haya mambo magumu sana, Mimi mke wangu akienda huko hatorudi nyumbani kwangu tena! Akae huku huko!
Wewe huwezi kumzuia mwanamke kwenda kusali ataenda tu
Mimi nilimuona siku moja wife kwenye tv ya mchungaji moja uko kawe anamshukuru Mungu kwa kumaliza ujenzi nikanyamaza tu