Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 879
- 1,084
Kwa aliyeanzisha huu Uzi, na kila aliyechangia (Nikiwemo Mimi), Tujiulize Swali hili la Bonny Mwaitege...
"Utanitambuaje Kama nimeokoka?"
"Utanitambuaje Kama nimeokoka?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakatikie huko majumbani kwao sio kuwaweka mbele ya makameraWasipoanza kujifunza kukatika udogoni basi ukubwani hawatoweza kukatika.
shetani kazini, nenda na wewe kaanzishe wakwako kama unazani ni kazi rahisiWizi Mtupu ndugu yangu.
Sikuhizi huo ni Mradi wa Daniel Lema na wenzie
Wanadanganya sana watu kwa lengo LA kupata pesa tu
Yaani wanachosisitiza ni SADAKA TU na wanaandaa watu kutoa shuhuda za uongo...NINA UHAKIKA NA HILI
Wakaona kuwa Mwakasege anapata pesa kupitia semina nao sikuhizi wameanzisha hizi semina na ukiangalia MADA ya semina zenyewe ndugu sio za kumjenga Mtu kiroho
Nimekuwa na Safina tangu enzi za akina Mwabukusi na Luca
Sasahivi SAFINA RADIO ni Mradi wa kupata pesa.
No one on earth anapaswa kusema ameokoka na bado anaishi, kuokoka ni pale itakopewa hesabu yako na mwingi wa rehema kwa huruma yake akaona unafaa kuingia peponi,Kwa aliyeanzisha huu Uzi, na kila aliyechangia (Nikiwemo Mimi), Tujiulize Swali hili la Bonny Mwaitege...
"Utanitambuaje Kama nimeokoka?"
sasa kama ni uongo, mbona ninyi kina mama na wanawake ndo mnaongoza kudondoka kwa mapepo, makanisani mwao? na ndo huwa mnajaza makanisa yao.[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo pakuonyeshwa na Mungu huwa wanacheza na saikolojia tu, hafu wanapenda waumini wanaotoa sana sadaka ka Bibi yako anavo wawekea mafuta lazima wawe wanakuja tena wanaweza mtabiria kuwa analogwa sana wawe wanakuja kumuombea daily, Kuna sehemu flani ya pastor bonge anapenda kuhubiria sana wadada single Ili waolewe Sasa huyo dada alikuwa hapati mimba akamtabiria kuwa huko tumboni Kuna chatu ndio anazuia mimba, dada alipiga ukunga akadondoka chini kwa nguvu na kuumia
Wajinga hawawezi kuisha Nchi hii,mwenzenu yupo kazini ninyi mnakesha bila sababu.Maombi tumeanza saa tano usiku hadi sasa hivi yanaendelea na ni kila siku.
Sasa hivi ndio mkurugenzi mkuu Daniel Lema kaingia na maombi mengine.
Hapa shetani lazima aombe poo!
Hongereni watu wa Arusha.
Kwa maombi haya huwa mnalala kweli? Tupeane uzoefu.
Watu wengi waliopiga simu na tatizo la ulevi kwa wanafamilia na magonjwa mbalimbali.
Acha kujitafutia laana bure wewe na kizazi chako chote kwa kuandika usivyovijua. Kwenye haya mambo ya rohoni wewe ni kipofu, so mengine yakupite tu.Wizi Mtupu ndugu yangu.
Sikuhizi huo ni Mradi wa Daniel Lema na wenzie
Wanadanganya sana watu kwa lengo LA kupata pesa tu
Yaani wanachosisitiza ni SADAKA TU na wanaandaa watu kutoa shuhuda za uongo...NINA UHAKIKA NA HILI
Wakaona kuwa Mwakasege anapata pesa kupitia semina nao sikuhizi wameanzisha hizi semina na ukiangalia MADA ya semina zenyewe ndugu sio za kumjenga Mtu kiroho
Nimekuwa na Safina tangu enzi za akina Mwabukusi na Luca
Sasahivi SAFINA RADIO ni Mradi wa kupata pesa.
Wokovu si dini, wala si Jambo jipya.No one on earth anapaswa kusema ameokoka na bado anaishi, kuokoka ni pale itakopewa hesabu yako na mwingi wa rehema kwa huruma yake akaona unafaa kuingia peponi,
/mbinguni. Hii ndo definition ya kuokoka kwa upande wangu. Yani umeepuka kuingia motoni na kiungia peponi.
Lakn bado unaishi, unamkosea Mungu kwa mawazo, maneno na matendo bado hujaokoka
Acha masihara broWewe huwezi kumzuia mwanamke kwenda kusali ataenda tu
Mimi nilimuona siku moja wife kwenye tv ya mchungaji moja uko kawe anamshukuru Mungu kwa kumaliza ujenzi nikanyamaza tu
Haya makanisa ya Arusha yanawasulubisha Sana wa wanawake..Bora umkanye maana akilewa mambo ya safina utachoka
Mimi bibi yangu ni mlevi wa safina nakerekeka mpka yeye ameshajua. Pesa yoyote unayompa ni kukimbiza kaloleni pale awapelekee, utasikia ngoja nimwambie lema, ngaoja nimpigie bariki akuombee kweny hii ishu, sie huku mkoani unapambana ukimtumia tu pesa anakimbiza fasta kwa hao kina bariki. Kuna siku niliona ndani bank slip ya 2.5 million nilipata moto. Yani wanatapeliwa tu.
Ninamuamini aliyemuumba mimi na wewe na yesu (pbuh) . Ninamshukuru sana Mungu alienitoa nilipokua na kuniongoza kwenye njia sahihi na zaidi naomba aniongoze mimi wewe na wengine wote kwenye njia ya wale anayowaridhia na wala sio wale aliowakasirikia..Wokovu si dini, wala si Jambo jipya.
Wokovu ni Kuuacha utu wa zamani (Matendo yasiyo mpendeza Mungu, mfano Ulevi, Uzinzi, Uongo, Uuaji, Wizi, Lugha mbaya n.k), na Kumrudia Mungu na kuanza kufanya yaliyo kadiri ya maelekezo ya Mungu.
Wokovu ni neema tuipatayo kwa njia YA IMANI KUPITIA YESU KRISTO WA NAZARETH.. Sasa Kama mtu Hamuamini Yesu Kristo wa Nazareth Basi ni wazi kuwa bado hujafikiwa/hujaipata Neema hii..
UAMUZI unabaki kwako Sasa, Kuifuata neema hii tuipatayo kwa njia ya imani kupitia KRISTO Bwana wetu au Kubakia huko uliko (Ambako wewe unaona kunakufaa).. Ukiichagua neema hii Sawa, Ukibaki Uliko Pia Sawa.
Kuipata neema hii na kuiishi kikamilifu kimwili na kiroho basi wewe unayo nafasi ya kuurithi ufalme wa Mungu, lakini kuipata na kuyarudia maovu au kutoiishi sawasawa (Yani nusu kwa Yesu nusu unafuataa matendo na tamaa za Mwilini) Basi ni wazi kuwa huna nafasi katika ufalme wa Bwana, maana Mungu hapendi vuguvugu.. Chagua Sasa, Kuwa Moto au Baridi.
UAMUZI NI wako, njoo kwa Yesu au Ubaki huko uliko, Hakuna atakayekulazimisha.
Nisamehe Sana nimeandika mambo mengi, lakini yote ni katika kukuelezea juu ya wokovu/kuokoka... Sasa Basi naomba nitoe mjumuisho wa nilicho andika.
Ili uokoke, kwanza inakupasa kumuamini Mungu na Mwanaye Yesu Kristo ambaye kupitia huyo ndio utapata huo wokovu... Sasa Kama humwamini Kristo huwezi kuuamini wokovu.
Asante na Kwaheri.
Wengin watakuambia chuki za dini, lkn hukuti wakiwaambia hawa wanawake wa waheshimu waume zao kutwa kukaa huko safina j4 alhamis na jmos na wakirudi majumbani wanasikiliza redio usiku kucha huku wao wanaingiza pesa za hawa.Haya makanisa ya Arusha yanawasulubisha Sana wa wanawake..
Kwasasahivi hawamtumikii Mungu tenaAiseeee, we ni mkongwe. Mara nyingi huduma huanza vizuri ila baadaye huamka roho ya tamaa na hiyo ndio huwa mwisho wa huduma. Mungu awasaidie
Hahaha, haya matisho ndio huwa mnawapa wanawake na wengine wadhaifu wa kiroho ili mpate pesa zao.Acha kujitafutia laana bure wewe na kizazi chako chote kwa kuandika usivyovijua. Kwenye haya mambo ya rohoni wewe ni kipofu, so mengine yakupite tu.
hayo umesema wewe,Nilijua mtakuwepo na si bure nawewe in mnufaika wa sadaka za Safina.
Acheni wizi, mmegeuza ibada kuwa mradi wenu wa kupata pesa
Mnatangaza shuhuda za UONGO KABISA na kuigiza kunena kwa lugha
Mimi ninawafahamu sana ninyi tangu Safina inaanza