Radio Safina this is too much

Bora umkanye maana akilewa mambo ya safina utachoka
Mimi bibi yangu ni mlevi wa safina nakerekeka mpka yeye ameshajua. Pesa yoyote unayompa ni kukimbiza kaloleni pale awapelekee, utasikia ngoja nimwambie lema, ngaoja nimpigie bariki akuombee kweny hii ishu, sie huku mkoani unapambana ukimtumia tu pesa anakimbiza fasta kwa hao kina bariki. Kuna siku niliona ndani bank slip ya 2.5 million nilipata moto. Yani wanatapeliwa tu.
 
Mkuu usisahau ile fruto inayouzwa pale eti ni damu ya Yesu na yale maji chumvi na mafuta ..wife wangu aliwahi kwenda uko akapeleka shati langu eti niache pombe. .nilichokifanya nikukanyagia mpaka mwisho wese kama lote mwenye akajizimia fegi
Hahahahaha umenikbusha fruto mtoto wa mamdogo ilikua ni full kudilute😂😂😂😂 kuna siku akadilute mpka ule weusi umeisha maana bibi.kazi kumwaga mlangoni, ukija kwenye chumvi sasa kuna saa zinamwagwa kitandani mpka ukilala kitandani unajihisi umelala bichi hahahah
 
Hahaaaa dah [emoji1787]
 
Kwa jamii ya kikristo vituo vya redio kama safina si ishu sana kuvisikiliza kutokana na vipindi vyao vingi ni abrakadabra na vinachosha kuvisikiliza. Bora wangejaza vipindi vya uimbaji tu kuliko maushuhuda na maombi feki. Wanapoteza wasikilizaji wengi. Mpangalio wa vipindi vyao hauna mvuto
 
Kwa jamii ya kikristo vituo vya redio kama safina si ishu sana kuvisikiliza kutokana na vipindi vyao vingi ni abrakadabra na vinachosha kuvisikiliza. Bora wangejaza vipindi vya uimbaji tu kuliko maushuhuda na maombi feki. Wanapoteza wasikilizaji wengi. Mpangalio wa vipindi vyao hauna mvuto
 
Wewe huwezi kumzuia mwanamke kwenda kusali ataenda tu
Mimi nilimuona siku moja wife kwenye tv ya mchungaji moja uko kawe anamshukuru Mungu kwa kumaliza ujenzi nikanyamaza tu
Hahahaaa dah!
Kuna rafiki yangu huwa tunakunywa naye bia. kuna siku muda wa kazi tupo kwa mangi tunashitua balimi akamwona mke wake anashukuru mume wake ameacha pombe baada ya kumpelekea mafuta.
Tukabaki tunacheka tu! na jamaa anasema hajamuuliza mke wake labda sijui kwa mwezi huu.
 
Wanapata mafundisho potovu, enzi hyo safina imeanza ilikuwa moto maombi mazuri na neno la Mungu, ila walipoanza kuuza fruto mara chumvi, maji mambo ya kiganga nikaacha kuwafatilia ni wapotoshaji kabisa
 
Bora wangekuwa wanaweka nyimbo za injili na neno kuliko maombi fake ya utanunua gari huku huna plan hata bicycle ya phoenix tu inakushinda. Nikiwa mtoto hakukuwa na ujinga huu na mambo yalikuwa smooth kweli
 
Wanapata mafundisho potovu, enzi hyo safina imeanza ilikuwa moto maombi mazuri na neno la Mungu, ila walipoanza kuuza fruto mara chumvi, maji mambo ya kiganga nikaacha kuwafatilia ni wapotoshaji kabisa
Wale mimi siwaamini hata kdg maana wamekuja sana pale nyumbani, bibj kila siku kuwaekea mafuta kwenye magari yao waje wafanye maombi home lkn usanii mtupu
Siku nimeamini hawana lolote ilikua hivi nimemtumia mtoto wa mamdgo picha nimevaa baibui na nipo na mtoto na nimejitanda mtandio mweusi sasa bibi alikua hajamuona mtoto wangu kwa muda kwa sababu sikua nnimeenda arusha kama 3 yrs, yule mtoto wa mdg akamuonesh bibi ile pic ya mimi na mtoto basi bibi kamind kwa nini nimevaa kiislam lkn kamaind kimy kimya suluhisho ikawa ampigie huyo bariki wa safina kamuelezea alivoona pic yangu na muonekano nliokua nao,. Few months later nikaenda arusha , kma kawaida kawaekea mafuta kuja hom mimi nipo rum nasikia wanaongea baadae naitwa nimsalimie bariki, akaanza propaganda kaoneshwa na roho mtakatifu usiku wa jana yake nimevaa baibui na makorokoro kibao yasiyo na maana basi anahitji aniombee roho chafu sijui inayo niandama itoke, mimi nikamwambia i worship the true God ambae sio mpka nipitie wewe ndo anisafishe , binafsi nikimwita namwona kweny maisha yangu tena kwa ukubwa mno, akendeleza tararira zake pale baada ya kuona hana hoja akasema tumshukuru Mungu, nikaona mambo yasiwe mengi akaomba hata dakika mbili hazikuisha ila kama sio nilikaza nahisi angenieke mapepo yeye maana anakuona we mchafu ye msafi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo pakuonyeshwa na Mungu huwa wanacheza na saikolojia tu, hafu wanapenda waumini wanaotoa sana sadaka ka Bibi yako anavo wawekea mafuta lazima wawe wanakuja tena wanaweza mtabiria kuwa analogwa sana wawe wanakuja kumuombea daily, Kuna sehemu flani ya pastor bonge anapenda kuhubiria sana wadada single Ili waolewe Sasa huyo dada alikuwa hapati mimba akamtabiria kuwa huko tumboni Kuna chatu ndio anazuia mimba, dada alipiga ukunga akadondoka chini kwa nguvu na kuumia
 
Yani akati ni picha alisimuliwa. Yani wanakula ela za bibi yangu hadi huruma. Ukimtumia tu pesa anakuambia asante hapa nilikua nawaza ntaendaje safina , unatamani upige voda urudishe pesa yako sema ndo hvo ukishampatia mzazi kitu matumizi anayofanya hayakuhusu.
Wamemteka akili ukimwambia jambo dogo utasikia ngoja nimpigie bariki maana naona huyu ndo yupo nae karibu zaidi
 
Ninachompendea Mchagga ndio hicho. Hana papara. Kwanza anasavei weeee, halafu anachora ramani.
1) Hapa Masakuu anafaa kuwa Mchungaji.
2) Kadogoo na Chalii wapunga mapepo!
3) Mimi hapa mkusanya sadaka
4) Ile stoo yangu sasa inakuwa Kanisa
Ngoja nianze na Masakuu.
 
Wasipoanza kujifunza kukatika udogoni basi ukubwani hawatoweza kukatika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…