Radio Safina this is too much

Wivu tupu
Unazani akina Zuchu watatoka wapi? Tena kipindi hicho ndo moja ya vipindi vitatu ninavyo angalia star tv.
Tupo kidigitali kama huwezi kaangalie TBC
 
Mkuu usisahau ile fruto inayouzwa pale eti ni damu ya Yesu na yale maji chumvi na mafuta ..wife wangu aliwahi kwenda uko akapeleka shati langu eti niache pombe. .nilichokifanya nikukanyagia mpaka mwisho wese kama lote mwenye akajizimia fegi
 
hv Shetani mmoja ndiye anafanya mishe mishe dunia nzima na hachoki au halali ?

kama ana wasaidizi wake anawaamrisha cha kufanya akiwa wapi ?
shetani ni roho hana mwili ana malaika zake/pepo wacha/roho chafu nazo hazilali kwa kuwa hazina miili.

Hizi roho chafu zinaishi kwa watu wachafu kama wazinzi, walevi, wezi, wachawi, wafiraji, waabudu sanamu, wenye husuda, wachonganishi n.k Ila zikikemewa kwa jina la YESU zinatoka kwenda kutafuta makazi mengine.
 
Umesahau na zile cd unazoambiwa nunua nyingi uwezavyo uweke kila chumba Mungu atafanya miujiza 😂😂😂😂 zimejaa ndani hatari
 
Asante.
Kwenye hio njia sahihi uliyopo basi usiwe na shaka Mungu Yupo hukohuko, ila kuhusu wokovu waachie walio kwa Mungu kupitia njia ya Yesu Kristo.
 
Asante.
Kwenye hio njia sahihi uliyopo basi usiwe na shaka Mungu Yupo hukohuko, ila kuhusu wokovu waachie walio kwa Mungu kupitia njia ya Yesu Kristo.
Sina shaka na uwepo wa Mungu, na zaidi ni upendo tu ndio maana najiombea mimi na wewe na wengine Mola mlezi wa mbingu na ardhi atuongoze ktk yale yanayomridhisha., atukumbushe pia kumuomba, kumtaja na kumtegemea na kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha na kitu chochote.
Uwe na jioni njema
 
Amina sana, Endelea kuniombea mara kwa mara maana Mungu huwasikiliza na Kuwajibu wanaomtii yeye.
 
Umelazimishwa?
 
Wewe huwezi kumzuia mwanamke kwenda kusali ataenda tu
Mimi nilimuona siku moja wife kwenye tv ya mchungaji moja uko kawe anamshukuru Mungu kwa kumaliza ujenzi nikanyamaza tu
Aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi comment za huku wajameni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwani safina wanaemdaga nyumbani kwa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kama hapa na ww umetukanyaga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwamba miaka ya 2006 ulikuwepo kuanzisha safina. Ikawaje mpendwa.. Enzi za kina Neemaa Makae Philemon Rupia [emoji23][emoji23]
 
Sie tunaoomba Mungu tunaomba utuache. Though hizo safina na nn sjui hatuhusiki lakini hayo mambo ya kusema probability ni kwa sababu hujui tu. Gym tunaenda na kusali tunasali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…