Radio Safina this is too much

Aisee umenikumbusha Mwabukusi. Yule mwamba nilimuelewaga sana kubabake. Mkuu ni kweli kuna shuhuda za uongo pale mitaa ya olasiti?
Bila shaka MWAMBUKUSI ni product ya Mbeya Injili ilipoanzia kwa hapa bongo
 
kuna baadhi ya wapuuzi humu wanapinga safina na ndo wa kwanza kwenda kwa waganga wa kienyeji.

Heri aendaye kumtafuta Mungu, kuliko amtafutae mganga wa kienyeji.
 
Ana kijana wake anapiga vyombo hatar na malaya wa kutosha
 
Heri hata ulikataa asikuwekee mikono yao kichwan sababu kuna uwezekano wakukupandikiza mapepo
 
Kwani safina wanaemdaga nyumbani kwa watu
Mbona kama hapa na ww umetukanyaga
Ukiwa mwanachama kindaki ndaki na ukiwa unawapa viela vya nauli, ndizi shambani zikikomaa unawaza kuwapa wao, lazima waje unakua staff😂😂😂😂😂
Kwani safina wanaemdaga nyumbani kwa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kama hapa na ww umetukanyaga
 
Acha kujitafutia laana bure wewe na kizazi chako chote kwa kuandika usivyovijua. Kwenye haya mambo ya rohoni wewe ni kipofu, so mengine yakupite tu.
Acheni kujipa matumaini na mambo ya kijinga eti laana, huyo jamaa wa safina anafanya biashara kama biashara nyingine, mbona mmeshindwa kunuombea
 
Heri hata ulikataa asikuwekee mikono yao kichwan sababu kuna uwezekano wakukupandikiza mapepo
Yani baada ya kuona hana hoja ndo akasema tuombe shukran kwa Mungu lkn lazima alijuta kuonana na mimi na nadhani baada ya kuondoka watakua walikutana waombe tena pamoja kuniondolea mapepo😂😂😂😂
 
Wote Sio matapeli ni kweli
Matapeli kitu cha kwanza wanatanguliza hela mbele. Mara nunua upako, mafuta, chumvi, kitambaa n.k
Halafu wao hawafundishi mtu alijue Neno la Mungu/Biblia, wao ni miujiza tu.
 
Katika mikoa ambayo NEMC wanatakiwa kuwaokoa watanzania ni mikoa ya Mbeya,Arusha.Aisee makanisa yanapiga kelele usiku,sauna mchana huhu yakiwa karibu na makazi.Maspika makubwa na vipaza sauti ni yamefungwa waziwazi.NEMC saidieni hao watanzania jaman wamezidiwa na hizo kelele.
 
kwa nini amewaacha waendelee kufabya hayo au hana uwezo wa kuwateketeza ?
 
sasa kama ni uongo, mbona ninyi kina mama na wanawake ndo mnaongoza kudondoka kwa mapepo, makanisani mwao? na ndo huwa mnajaza makanisa yao.
Makanisa ya kina buldiza yanajaza wanawake Kwa vile wanawake wanatafta solutions za shida nyingi walizonazo plus uchungu na kutelekezwa na wanaume ni Rahisi mtu kudondoka kwa mApepo vile ana uchungu siku wanaume wakiwa responsible na jamii kumpunguzia mzigo mwanamke wa ulezi na mApepo ya wanawake yataisha
 
Hata mi nilitaka kushangaa! Mchaga ahubiri dini kweli? Hao mungu wao ni pesa povu ruksaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…