WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,350
Hiyo radio wasafi inapatikana kwny masafa gani?
Lakini pia na wasanii na washabiki wao naona kama wana imani kwamba "bila wao hakuna maisha"..ukishakuwa na kitu kama hicho kichwani tayari umeshashindwa...ila na wenyewe (hiyo radio) kama wameingia mgogoro na msanii na baadae ameomba msamaha na kuamua kupiga nyimbo zake waepuke kufukua makaburi maana juzi kati nimeona youtube msanii Ruby anabananishwa maswali mpaka aonekane kwamba alikoseaClouds hawana tatzo ila tatzo anaonekana kuwa ruge why ruge kila siku
ManyanyasoYani many any aso? What do u mean?
Hahaha a asanteMengineyo kama hayo
Nenda instagram utajuqHiyo radio wasafi inapatikana kwny masafa gani?
Wajinga kweli hawaWananyanyasa saaaaanaaaa,yani wanajikuta ndo wana bati miliki ya maisha ya watu
Bro sijaongelea diamond anawachukia clouds nimesema clouds wananyanyasa watu na wasaniiTumewachoka au wewe ndo umewachoka..??? Usisemee mioyo ya watu. Epuka kuonesha mihemko hata kama una mapenzi au iterest na hiyo Wasafi Radio.
Naamini hata Diamond mwenyewe hawez kuonesha chuki ya wazi wazi kiasi hicho kwa Clouds. Yan wewe una hasira kuliko Diamond mwenyewe.
Walichomfanya dada wa watu sio kabisanamkumbuka rubi tu dah.....
VepeeMoney penny bwana
Nenda instagram ya diamond utajuaRedio haijengwi kwa siku moja hacheni upuuzi ni kweli clauds ina mapungufu yake lakini msiifananishe na vitu vya ajabuajabu iyo wasafi inasikika wapi mpaka muanze kuilinganisha na redio yenye zaidi ya miaka 10