Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Clouds hawana tatzo ila tatzo anaonekana kuwa ruge why ruge kila siku
Lakini pia na wasanii na washabiki wao naona kama wana imani kwamba "bila wao hakuna maisha"..ukishakuwa na kitu kama hicho kichwani tayari umeshashindwa...ila na wenyewe (hiyo radio) kama wameingia mgogoro na msanii na baadae ameomba msamaha na kuamua kupiga nyimbo zake waepuke kufukua makaburi maana juzi kati nimeona youtube msanii Ruby anabananishwa maswali mpaka aonekane kwamba alikosea
 
Kwan bongo kuna radio ngap? Si muende huko kwingne kwanini mkimbilie clouds. Mi naona sometimes ni ujinga, inakuaje mtu unapiga kelele eti mlimani city vitu bei mbaya wakat maduka yapo tu mengi mjini hapa ila shobo zako mwenyew ndio unakimbilia mlimani city.
 
Clouds kushuka hawezi not in a short time kama hivyo labda mseme Ruge kushuka Clouds itawezekana kama barafu kwenye joto!..
 
Tumewachoka au wewe ndo umewachoka..??? Usisemee mioyo ya watu. Epuka kuonesha mihemko hata kama una mapenzi au iterest na hiyo Wasafi Radio.

Naamini hata Diamond mwenyewe hawez kuonesha chuki ya wazi wazi kiasi hicho kwa Clouds. Yan wewe una hasira kuliko Diamond mwenyewe.
Bro sijaongelea diamond anawachukia clouds nimesema clouds wananyanyasa watu na wasanii
 
Redio haijengwi kwa siku moja hacheni upuuzi ni kweli clauds ina mapungufu yake lakini msiifananishe na vitu vya ajabuajabu iyo wasafi inasikika wapi mpaka muanze kuilinganisha na redio yenye zaidi ya miaka 10
Nenda instagram ya diamond utajua
 
Back
Top Bottom