Taratibu mkuu,hata hiyo wasafi ikija itamsaidia Efm kuimalizia tuMbona haijazika mpaka sasa
Samahani unaishi Tz hasa Dar au?!Watu gani wananyanyaswa na Clouds..?? Au wao ndo mnawanyanyasa kwa kuwavamia usiku na silaha.?? Halafu kesho mnasifiana "PIGA KAZI". Nadhani ingekuwa wananyanyasa wangeshakamatwa siku nyingi.
Au ni watu gani hao unaozungumzia..??
Mmmh aya weeTaratibu mkuu,hata hiyo wasafi ikija itamsaidia Efm kuimalizia tu
Kumbuka nyuma ya wasafi kuna babu tale na said fela je hao jamaa wamewai kulalamikiwa na wasanii wangapi??Samahani unaishi Tz hasa Dar au?!
Unafuatilia wasanii wanavyoilalamikia clouds media group?!
Kama hujafuatilia basi kaa kimya Maana utaonekana kituko mbele ya jamii
Azam Fc ni ya lini na Simba Fc pamoja na Yanga Fc ni za lini lakini bado Azam inatisha?Redio haijengwi kwa siku moja hacheni upuuzi ni kweli clauds ina mapungufu yake lakini msiifananishe na vitu vya ajabuajabu iyo wasafi inasikika wapi mpaka muanze kuilinganisha na redio yenye zaidi ya miaka 10
Yap, nakaa Dar. Lakini pia hata mikoani Clouds inasikika. Au hao wasanii wanaolalamika huwa mnakutana vijiweni...???Samahani unaishi Tz hasa Dar au?!
Unafuatilia wasanii wanavyoilalamikia clouds media group?!
Kama hujafuatilia basi kaa kimya Maana utaonekana kituko mbele ya jamii
kwahiyo clouds ni bangi au wasanii ni bangi?Yap, nakaa Dar. Lakini pia hata mikoani Clouds inasikika. Au hao wasanii wanaolalamika huwa mnakutana vijiweni...???
Sio kila anayelalamika basi anaonewa kweli. Muda mwingine tunashindwa kukubali kutokukubaliana au tunashindwa kuwa na makubaliano chanya na demands wanazotaka wao kama service providers, so tunaishia kulalamika tu.
Hata watoto wa kambo muda mwingine huwa tunawaonea huruma kwa kudhani kweli wanaonewa kweli, bila hata kupima tabia zao binafsi. Yawezekana akawa mtoto ni pasua kichwa na full mibangi, ila tunawatetea tu.
meona eeAzam Fc ni ya lini na Simba Fc pamoja na Yanga Fc ni za lini lakini bado Azam inatisha?
Kikubwa ni uwekezaji tu.
labda wewe!Kumbuka nyuma ya wasafi kuna babu tale na said fela je hao jamaa wamewai kulalamikiwa na wasanii wangapi??
Basi sawa!labda wewe!
heheBasi sawa!
Nilijua mnajenga hoja lkn km ndo hisia kuna kazi kubwa sana tofauti na mnavofikiria
Yooo! MhzTupe megahats za redio yake bro
naonaaYooo! Mhz
Nilisikia kipindi kile kabla ya beef walikuwa ni mwendo kumfunua mtoto wa watu sasa hiv nasikia nandy ndiyo kipozeo cha mkurugenziLakini pia na wasanii na washabiki wao naona kama wana imani kwamba "bila wao hakuna maisha"..ukishakuwa na kitu kama hicho kichwani tayari umeshashindwa...ila na wenyewe (hiyo radio) kama wameingia mgogoro na msanii na baadae ameomba msamaha na kuamua kupiga nyimbo zake waepuke kufukua makaburi maana juzi kati nimeona youtube msanii Ruby anabananishwa maswali mpaka aonekane kwamba alikosea
UUUWI NI SHEEDAH!Nilisikia kipindi kile kabla ya beef walikuwa ni mwendo kumfunua mtoto wa watu sasa hiv nasikia nandy ndiyo kipozeo cha mkurugenzi
MBAYA SANANi kitu ambacho kipo japo sisi watanzania tunatabia ya kutaka kuona wenzetu wakifeli mfano team kiba leo mnafurahia diamond
kugombana na clouds lkin mjue clouds wakisha malizana na diamond watamgeukia kina ivyo huu ndo wakati wa wasanii kusimama pamoja na kupigania masilahi yao maana clouds imewaumiza watu wengi sana kuliko mfano na list ni kubwa sana ya wasanii waliopoteza na clouds kisa wao waliamua kupambania maslahi yao mfano watu kama banana zoro kigwema mapacha sugu wakina juma nature wakina h baba k sal abby skilz mpaka sasa yupo kwa studio ya nas b Anahangaika kuangalia kama atashine tena nas b ingawa yeye Mungu amemsaidia akafungua ofisi yake kwa maana recording studio watu kama Wachuja nafaka watu kama bigdog poz watu kama pig black watu kama sam wa kwel watu kama chelea man watu kama dullayo watu kama nako 2 nako na wengine wengiiiiiii orodha ni kubwa mno kifupi clouds wanautumia na pale unapokuja kujitambua kuwa unaibiwa na ukaamua kudai maslahi yako ndo wanapo anza kukuzushia maskendo kibao lengo lao ikiwa ni kukumbusha chini namaanish kukupoteza kabisa kwenye ramani ya muziki
hehehe team kiba buana utamjua tu!Clouds media LAZIMA wafanye vil kwa sababu wamefanya ile kuwa mtego wao kuwanasa wadada wa mjini wasiojitambua. Binafsi sidhani kama Wasafi radio itafika mbali, kwa sababu ukiangalia wasanii walionao hakuna hata mmoja mzuri including Diamond mwenyewe.