Rafiki anahitajika

miss IQ

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
848
Reaction score
1,196
Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji rafiki mtu mzima, kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 , ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart, straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri.

Mimi pia ni mtu mzima sana ndomaana nahitaji kuongea na mtu mzima ambaye anajua maana ya kula ugali na chumvi ili watoto wasome vizuri.

Sina uhakika wa kujibu comments maana niko na mood yangu personal.

Asanteni
 
PM pls!
 
Niko hapa
 
Kati ya marafiki ulionao sasa, chambua upate angalau mmoja tu wa kwenda nae nchi ya Ahadi, ya maziwa na asali.

Kwa umri wako sikushauri utafute wapya.
 
Kati ya marafiki ulionao sasa, chambua upate angalau mmoja tu wa kwenda nae nchi ya Ahadi, ya maziwa na asali.

Kwa umri wako sikushauri utafute wapya.
Sinaga marafiki ,ila kwasasa kuna ulingo nimeingia naona kabisa nahitaji kupata msaada wa kimawazo ili nisonge mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…