Rafiki anahitajika

Rafiki anahitajika

Mimi, tofauti kubwa kati ya mtu ninayemwona kuwa rafiki na mtu ambaye sio ni upatikanaji wake. Rafiki ni mtu ninayeweza kuwasiliana naye wakati wowote na kutarajia jibu la haraka.

Hiyo ni tabia ambayo karibu watu wote ninaowaona kuwa marafiki wanayo. Ninaweza kuchukua simu yangu, kuwatumia ujumbe au kuwatumia klipu ya sauti na kutarajia kwamba watanirudia haraka iwezekanavyo.

Kuna watu unatuma ujumbe leo hutasikia kutoka kwao au majibu kwa siku nyingi. Siwachukulii kuwa marafiki. Rafiki pia ni mtu ambaye anavutiwa nawe.

Ata wasiliana nawe au Watawasiliana nawe hata wakati hawataki chochote. Wanakutaka wewe tu. Kuna watu nilionao kama watu wanaowasiliana nao kwa simu ambao watanijibu nikituma ujumbe kwao, lakini hawatawahi kunitumia ujumbe isipokuwa niwatumie ujumbe. Siwachukulii kuwa marafiki.​
 
Mimi personal sidhani kama age matters...people go through shit at different times in life, but what u should look for is someone who is ready to share ideas and challenges that will help u grow together...maoni yangu! mtu anaweza asiwe agemate ila akakusuprise...
 
Una umri gani
Unaishi wapi
Na wewe kabila gani
Sina marafiki wengi kiviile naweza kukuongeza nikipata hayo majibu.niko very loyal kwa marafiki zangu.utaenjoy
 
Msimlazimishe
 
Habari ,kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nahitaji rafiki mtu mzima,kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 ,ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart,straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri.Mi pia ni mtu mzima sana ndomaana nahitaji kuongea na mtu mzima ambaye anajua maana ya kula ugali na chumvi ili watoto wasome vizuri .
Sina uhakika wa kujibu comments maana niko na mood yangu personal.
Asanteni
Japo unqsema upo na mood personal naomba unipe majibu ... upo wapi I mean mkoa gani
 
Kama umeshawahi kupitia mahali na ukawaona wale uliokuwa unawaita marafiki jinsi walivyokuacha solemba hutakaa uwaze kuhusu kuwa na rafiki.

, Kwa sababu mwisho wa siku ni wewe binafsi kuchagua ni nani wa kwenda nae, Maana ukibeba kila mtu karibu watakuangusha. Jua kuchagua kwanza halafu ndiyo uweze kuona rafiki ni yupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh nimfikirie mimi naweza kukupeleka nchi ya Ahadi ukale maziwa na asali
Plz plz
 
Upo weye, habari ya miaka tele?
Una umri gani
Unaishi wapi
Na wewe kabila gani
Sina marafiki wengi kiviile naweza kukuongeza nikipata hayo majibu.niko very loyal kwa marafiki zangu.utaenjoy
Mara nyingine huwa nacheka sana nikiona comments zako, uko funny sana [emoji23]
 
Kwa stori, ushauri niko vzr wengi huwa wananijia , tatizo najijua sikawii kuomba game kwa rafiki. Hapo linakaaje ili nije DM?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mimi nataka nikunyandue, hapo vipi
Habari ,kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nahitaji rafiki mtu mzima,kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 ,ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart,straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri.Mi pia ni mtu mzima sana ndomaana nahitaji kuongea na mtu mzima ambaye anajua maana ya kula ugali na chumvi ili watoto wasome vizuri .
Sina uhakika wa kujibu comments maana niko na mood yangu personal.
Asanteni

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Upo weye, habari ya miaka tele? Mara nyingine huwa nacheka sana nikiona comments zako, uko funny sana [emoji23]
Salama kabisa boss,
[emoji2]Maisha mafupi ati ni vema kujitahidi tu kuwa na moments nyingi za furaha kuliko huzuni
 
Back
Top Bottom