totoadela
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 369
- 1,106
Inauzwa elf 10 tu ni tamu kuila ila balaa lake sasa unasizi kinoma yaan unalewa kimyakimya [emoji2]Inapatikana sehemu gani pls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauzwa elf 10 tu ni tamu kuila ila balaa lake sasa unasizi kinoma yaan unalewa kimyakimya [emoji2]Inapatikana sehemu gani pls
Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji rafiki mtu mzima, kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 , ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart, straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri.
Mimi pia ni mtu mzima sana ndomaana nahitaji kuongea na mtu mzima ambaye anajua maana ya kula ugali na chumvi ili watoto wasome vizuri.
Sina uhakika wa kujibu comments maana niko na mood yangu personal.
Asanteni
Naomba tuwadilianeHabari,

Nahitaji hizi kitu. Napata wapi kwa Dar?Inauzwa elf 10 tu ni tamu kuila ila balaa lake sasa unasizi kinoma yaan unalewa kimyakimya [emoji2]