Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

nilidhani utainvalidate setifiketi yenyewe kumbe ZD aichukue hivyo kama padri alivowapa siku ile....

na huko kwa kina eliza ndo mastress unayanunua sasa

Aichukue hivyo hivyo. akitaka kuichana sawa, kuitundika kwa rafiki yake haya, kuitengenezea fremu sawa, kuipeleka TAMWA twende. after all its just a peace of paper. Yu knoo woram seyying?
 
Aichukue hivyo hivyo. akitaka kuichana sawa, kuitundika kwa rafiki yake haya, kuitengenezea fremu sawa, kuipeleka TAMWA twende. after all its just a peace of paper. Yu knoo woram seyying?

Thats my boy! u know woram seyin!
 
Aichukue hivyo hivyo. akitaka kuichana sawa, kuitundika kwa rafiki yake haya, kuitengenezea fremu sawa, kuipeleka TAMWA twende. after all its just a peace of paper. Yu knoo woram seyying?

hahaaa na mtagawana vitu sawa kwa sawa shem!!! Lakini kiukweli kutambulishwa rafiki ya partner wako ni hatari kwa kuwa hujui the motive behind labda ndo itatumika kama defence mechanism kwamba hata next time ukiwaona pamoja unajua aaah yule mbona ni rafiki tu kumbe wenzio haoooo wanapeana mautamuuuuuuu
 
Akitaka achukue vyote! I will start afresh! Ili mradi, hiyo nyumba niliyoijenga kwa jasho langu itawekewa ulinzi mkali. Bastard yeyote akiingia ndani kwenda kuvunja amri ya sita kwenye kitanda nilichonunua mimi! Ash to Ash! You knop wora I mean! Fire man!
 
mi siku atakayotoa introduction ya kiivyo lazima anieleze pia ilikuwaje mpaka wakawa so close na mtu nisiyemfahamu bila mimi kujua, yaani kwa nini alinificha??? siku hiyo ni mpaka kieleweke na ntamwambia wazi kwamba huo urafiki wao mimi siu fagilii kwa sababu tayari una walakini, kama hakuna marafiki wa kiume wa kushauriana, kubadilishana mawazo na kusaidiana ktk mambo bora tubaki wenyewe tu...
 
huyo ndo nani tena?

Mama la Carmel ndani ya nyumba kwa mara nyingine. Leo mpaka kieleweke! Lazima muwaintrodyuzi marafiki zenu kwa spouse zenu. Whether you like or not!
 
thats my best shemeji friend tha am about to introduce to my real nguli (the legend)
 
Mama la Carmel ndani ya nyumba kwa mara nyingine. Leo mpaka kieleweke! Lazima muwaintrodyuzi marafiki zenu kwa spouse zenu. Whether you like or not!

kumbe unatumia mabavu sasa, no introduction pande yake wala yangu.....
 
we unahitaji ushauri nasaha wa mamaa la carmel! Yaani urafiki wa opposote sex ni illegal kwenye mahusiano? My! My! My! Kweli wivu ukizidi unaleta kero!
 
kumbe unatumia mabavu sasa, no introduction pande yake wala yangu.....

And you mean it. I can see! Kwa sababu we hujiamini au huaminiki, siyo?
 
Now i understand!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…