Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

khaaa MJ1....uwiiii? unajua wanao cheat ki kweli kweli? mpaka uje ugundue machweo.......hapo kwenye umakini ni bora nusu shari kuliko shari zima....waishilie huko huko na urafiki wao.
 
Umepewa bure, toa bure! Hahaha! Turudi kwenye mada, can you introduce me to your real nguli?

Bure ni marehemu kama hukuja hilo!!! Why not ntamwambia Nguli mlegend tikishapatana maana sasa hivi kuna fukuto sasa nikiongeza hilo......
 
khaaa MJ1....uwiiii? unajua wanao cheat ki kweli kweli? mpaka uje ugundue machweo.......hapo kwenye umakini ni bora nusu shari kuliko shari zima....waishilie huko huko na urafiki wao.

Mrs mambo? nimekumiss mwenzio! (off topic hii) dah
 
ha ha haa halafu wengine ati wanaitaga "persecutions",,,
 
She better do it! Manake nikimkuta naye sehemu afu ndo aniambie habari ya urafiki wa kawaida kuna matatu yatatokea:
1. Jamaa atawaishwa MOI kurekebishwa mifupa niliyoivunja(Am very good in breaking these guys' bones)
2. Wife atakuta vitu vyake na cheti cha ndoa vinamsubiri barazani
3. Chrispin atakuwa bachela wa kudumu, rafiki wa maisha wa mabaamedi.

THATS ALL!
 
Iribini hiyo 2. wat for sasa?
na kwenye 3. utakuwa umejikomesha kweli kweli
 
No comment!
 
khaaa MJ1....uwiiii? unajua wanao cheat ki kweli kweli? mpaka uje ugundue machweo.......hapo kwenye umakini ni bora nusu shari kuliko shari zima....waishilie huko huko na urafiki wao.

hehehhe Mrs bana...
 
teh teh teh ,umesahau kuhusu jeshi la polisi baada ya jamaa kwenda moi,baadae utajiunga na top band utakuwa unaimba huzuni zako pale
 
ha ha kwa hiyo akija mwenyewe na kumtambulisha jamaa "mume wangu Chris, huyu hapa anaitwa Musa, ni rafiki yangu wa karibu kwa mda mrufu tuu, tunapiga story, tunashauriana mambo mengi na kusaidiana katika mambo mbalimbali" ...wewe utamkaribisha ndani jamaa, na kumtabasamulia tuu huku ukimwambia mama watoto amsevie na ka wain...ha haa
 
teh teh teh ,umesahau kuhusu jeshi la polisi baada ya jamaa kwenda moi,baadae utajiunga na top band utakuwa unaimba huzuni zako pale
 
Iribini hiyo 2. wat for sasa?
na kwenye 3. utakuwa umejikomesha kweli kweli
No 2: Dawa ya moto ni moto
No 3: Ntakuwa nimejikwepesha na mastress ya kijinga for the rest of my life.
 
No 2: Dawa ya moto ni moto
No 3: Ntakuwa nimejikwepesha na mastress ya kijinga for the rest of my life.

nilidhani utainvalidate setifiketi yenyewe kumbe ZD aichukue hivyo kama padri alivowapa siku ile....

na huko kwa kina eliza ndo mastress unayanunua sasa
 
Jamani, introduction si mpaka jamaa aingie ndani au apikiwe! Ila hata kama ni hivyo, she better introduce. Kwasababu nikimkuta na mtu katika maeneo hatarishi, introduction will be too late. Ile namba 1, 2 na 3 vitaaplaiwa on the spot. That will be too late for her to introduce her real friend. her mistake, anyway!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…