Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Mimi nafikiri kumtambulisha ni muhimu kwa sababu hata kama akicheat naye ni rahisi kumtambua kwani si watajisahau na kudhani hutawashtukia so we unanote tu ratiba za 'rafiki' kuwatembelea inakuwa kila mara na pengine watakupa hint. mradi tu uwe makini!
khaaa MJ1....uwiiii? unajua wanao cheat ki kweli kweli? mpaka uje ugundue machweo.......hapo kwenye umakini ni bora nusu shari kuliko shari zima....waishilie huko huko na urafiki wao.