Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Kweli kabisa dada ndio mana nikaanza kwa kuuliza anampango gani na huyo rafiki yake maana kama ni mkweli na msafi wa moyo hana haja ya kupata kigugumizi ati!
MJ1 hivi kuna mkweli na msafi wa moyo? hata kama yupo lakini kuzuia matatizo ni bora tu waendelee huko huko walikojuana sio mpaka ndani kwangu.......