carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
wanasema mchawi mpe mwanao amlee! so i would prefer to know all female friends that my hubby has.Mimi nafikiri kumtambulisha ni muhimu kwa sababu hata kama akicheat naye ni rahisi kumtambua kwani si watajisahau na kudhani hutawashtukia so we unanote tu ratiba za 'rafiki' kuwatembelea inakuwa kila mara na pengine watakupa hint. mradi tu uwe makini!