Rafiki mwema ni yule akufaaye siku ya dhiki: Tuwaunge mkono Airtel na hii offer yao

Rafiki mwema ni yule akufaaye siku ya dhiki: Tuwaunge mkono Airtel na hii offer yao

1500 napata GB1.5 dakika 150 na sms 100 kwa siku Saba..kifurushi cha sahizi yako kutoka Tigo Tanzania
 
TCRA hiyo kazi iliwashinda zamani sana ndiyo maana sikuwataja, wao kazi wanayoiweza ni kufungia vituo vya redio, TV na blogs tu.
hahahahah wapumbavu sana hao, we need customer protection consortium.
 
Nadhani moja wapo kati ya haya litawezekana.

1. Je, uliona ile option ya ku-activate ofa?
2. Ikishindikana hapo jaribu kuweka laini mpya, book kwa ajili ya laini mpya sio issue. Nahisi ukiweka laini mpya inaweza kusoma kama "new user"
Navizia mtu akanunua cm mpya niweke line yangu kwanza
 
Navizia mtu akanunua cm mpya niweke line yangu kwanza
Kwenye Terms and Condition, # 2 wanasema "Existing Airtel customer upgrading to a new smart phone or any other smart phone user joining Airtel network and using their smart phone for the first time on the Airtel network are eligible for this offer."

Hebu jaribu kuazima simu ya mtu yeyote ambae unajua atakuwa hajajiunga na hiyo offer kisha weka laini halafu uone kama utapata activation option. *149*99#>>> 5 >>> 6>>> Activate
 
1500 napata GB1.5 dakika 150 na sms 100 kwa siku Saba..kifurushi cha sahizi yako kutoka Tigo Tanzania
Kama matumizi yako ni ya kawaida tu; 1.5GB inatosha sana ingawaje kama unatumia Instagram halafu ukawa unajisahau kwenye zile video stories, lazima ikukatikie njiani
 
Mfano huwa natumia kifurushi cha mwezi 20,000 wao 22GB wakati kwa gharama hizo hizo napata 8GB Vodacom 🙌😭
Taarifa tamu kwangu ni kwamba, endapo hii ofa itaendelea kwa upande wangu, hiyo 20K nitakuwa nabeba 44GB, na nikiongeza Sh 5K na kuwa 25,000 nitakuwa nakomba 60GB! Mbona nitanenepa mwaka huu!
Hadi external na PC zangu nazihurumia zitakavyobeba makontena ya shaba mwaka huu!!!
 
Hahahahah hivi bado kuna wana muna danrodi mazaga 😂! Uko chuo nini mdg wangu
 
Hahahahah hivi bado kuna wana muna danrodi mazaga 😂! Uko chuo nini mdg wangu
Chuo 60GB utafanyia nini?! Ukiona mtu anazungumzia ma-bundle makubwa namna hiyo basi atakuwa ni mtu wa ma-movie/series na ma-softwares! Na yote hayo, Software/tutorials/movies/series ndivyo vinajaza pc zangu!

Muda mfupi uliopita nime-download After Effect tu, wamebeba 3GB! Watu wanaofanya tech issues wanabugia sana bundles hususani kama unataka kuwa up to date
 
Yes,airtel wanacheap bundles
......Ila nikiwa na GB 1 siwezi kuangalia mpira dk 90,Voda natumia 300MB-450MB......kwangu airtel MB huwa zinaisha faster mechi haishi hata dk 30,GB inaisha
Unaangalia mpira kutumia nini? Mimi huwa naangalia kupitia Dstv mb 500 zinatosha kabisa ila siangalii kwa resolution kubwa pia kwenye uchambuzi siangalii.
 
Airtel wapo vizuri kwenye vifurushi vyao ila internet yao ni slow sana, kwa mfano kwa hapa zenji inaweza kuandika 4G na bado ikawa na speed ya E
 
Back
Top Bottom