Rafiki ni nani?

Rafiki ni nani?

ASIWAJU

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
1,938
Reaction score
1,632
Nipende kuwakaribisha wadau wote kwa maswali yangu haya mafupi yenye kuhitaji majawabu, maelezo na mifano halisia toka kwenu.

MASWALI:
1. Rafiki ni mtu gani au nini maana ya rafiki?

2. Kivipi unaweza kumtambua huyu mtu kuwa ni rafiki?

KARIBUNI
 
Majibu ya maswali yako yapo kwenye wimbo wa Langa unaitwa Rafiki wa kweli
 
Ndio maana nimeuliza kwanza mkuu kuhusu maana ya rafiki na ki vipi unaweza kumtambua ili niweze kufahamu kwa undani kuhusu hili swala.

Kwa sasa sina jibu la moja kwa moja kwa swali lako, kwa kuwa hata maana ya neno siifahamu kiundani.
Tuendele kusubiri wanaojua walete michango mkuu
 
Rafiki,ni dhana pana Kwa kiwango changu cha uelewa rafiki ni zawadi toka kwa Mungu, Unaweza kuwa na mke au mme mkawa marafiki , uweza kuwa na watoto au mtoto akawa rafiki yako ,kwa ufupi rafiki yako hukopi wala humkopeshi, unambebea ,anakubebea pia rafiki aweza kuwa tajiri au maskini ,Dunia ya Leo inapima urafiki kupitia vipato,pesaro nk.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom