Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff, Chief Rocka amethibitisha taarifa zilisosambaa kuwa msichana aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau, China ni yeye.
“Amekamatwa kweli,” Chief amesema Chief.
“Nilivyosikia story ni kwamba ametoka Bongo akapita Thailand baada ya kutoka Thailand akaenda Macau, Macau ndio akakamatwa.

"Mimi nilijua sababu nilipigia simu watu wa ubalozini baada ya kupata taarifa tu mara ya kwanza nikawapigia watu wa ubalozi nikawaambia ‘bana, ndugu yetu amekamatwa sasa nataka kujua process ikoje kama kuna kumuona au kama kuna chochote.

1.jpg

"Kuna ubalozi mwingine mdogo upo Hong Kong wao ndio wakaniambia mambo yalivyo kwamba alikuwa yupo yeye na watu wengine wawili, Mtanzania na Mnaijeria, yeye ndo kakamatwa, hawa wengine baada ya kuona wanataka kukamatwa wakakimbia,” Chief ameeleza.

Amesema kwakuwa Jackie amekamatwa Macau ambako kuna sheria tofauti na upande wa bara wa China, adhabu yake inaweza kuwa ndogo kuliko ile ya kunyongwa ambayo hutolewa bara.

1.jpg

Chief Rocka akiwa na girlfriend wake pamoja na Jackie na Jux **
“Inategemea ukikamatwa mainland China halafu labda ukakamatwa Macau au kwa Macau na Hong Kong ni kama uko kwetu nikama Tanzania na Zanzibar.

"Kwahiyo yeye alikokamatiwa ni kama yupo Zanzibar ni ndani ya China lakini inajitegemea lakini sheria zake sio kali sana.

"Lakini sasa mpaka wajaji kutokana na mzigo walioubeba, wengine wanasema miaka mitatu, wengine minne, wengine wanasema wanatoa kama Hong Kong miaka nane, so inategemea na akiisaidia polisi akisema watu aliokuwa akiwapelekea mzigo waliko na wakapatikana, I don’t know.”

Hata hivyo Chief amesema ameshangaa kuona jinsi Watanzania wanavyomhukumu mtu kabla ya kujua ukweli wa mambo.
1.jpg

“Yaani hii imereveal jinsi ambavyo Watanzania tuko. Sio kwamba nafahamiana sana na Jackie, nimefahamiana naye mara ya kwanza na ya mwisho, sikukaa naye hata kwa wiki tatu, I wouldn’t end up judging someone like how people wanavyojudge kwenye Instagram na mitandao mingine kwamba ‘kapatikana, kaumbuka, bado Jux zamu yake, sijui nini.”

Amesema kuonana na Jackie kwa sasa sio rahisi kwakuwa wengine wanasema uwezekano huo unaweza kupatikana mwezi wa tatu mwakani.
Chief ameongeza kuwa hakuna sehemu mbaya na hatari kukamatwa na madawa ya kulevya kama China.

“Navyosema kwamba I feel sorry for her ni kwasababu mimi nimekuwa hapa miaka mitano at least naongea kichina yaani hata wakikifunga you can socialise with people lakini sasa kwa yeye ambaye haiongei,… yaani ukiweka ubinadamu, ukiachana na hayo mambo sijui ya madawa ya kulevya yule ni msichana ni kama wasichana wengine wowote , yaani kama dada yako au demu wako akikamatwa awekwe ndani kwenye nchi ya ugeni ni jambo kubwa yaani especially kwa mtu ambaye umeshamfahamu kidogo huwezi kuanza kumjudge kisa amepost picha ya Benz yake, yaani she is a hardworking woman. Suala la madawa sio zuri lakini sio kila mtu anaweza akafanya.”

Rapper huyo amesema picha zilisombaa mtandaoni zikimuonesha msichana mwenye koti la njano akiwa amekamatwa ni za Jackie.
 
This dude hayuko serious WTF anadhani people r envy na benz or stuff lk dat,amekamatwa na unga for God's sake 1.1 kg anajua ungetumiwa na nani anafahamu athari zake eti she cud a sisy or gf wat bout our brothaz na sistaz wanaotumia tunasema ahukumiwe for sake of majority wkt uyo m'mke alikua anafanya kwa faida yake aaaarrrgh ivi vitoto vikikaa nje vinawehuka he's such a d**k head.
 
huyu naye!!!!!hivi vitoto sijui huwa vinaona watu wengine ni mataahira?yaani yeye kwa kuwa ana interest na huyo muuaji basi anataka kutulazimisha wote tuwe ma advocate wa huyo demu wake,kwanza hivi hakuna uwezekano wa kutumia sheria za china kumnyonga hadi kufa huyo muuaji?
 
hamna kimuonea mtu huruma....ikiwezekana anyongwe tu...bado jux
 
Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff, Chief Rocka amethibitisha taarifa zilisosambaa kuwa msichana aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau, China ni yeye.
“Amekamatwa kweli,” Chief amesema Chief.
“Nilivyosikia story ni kwamba ametoka Bongo akapita Thailand baada ya kutoka Thailand akaenda Macau, Macau ndio akakamatwa.

"Mimi nilijua sababu nilipigia simu watu wa ubalozini baada ya kupata taarifa tu mara ya kwanza nikawapigia watu wa ubalozi nikawaambia ‘bana, ndugu yetu amekamatwa sasa nataka kujua process ikoje kama kuna kumuona au kama kuna chochote.

1.jpg

"Kuna ubalozi mwingine mdogo upo Hong Kong wao ndio wakaniambia mambo yalivyo kwamba alikuwa yupo yeye na watu wengine wawili, Mtanzania na Mnaijeria, yeye ndo kakamatwa, hawa wengine baada ya kuona wanataka kukamatwa wakakimbia,” Chief ameeleza.

Amesema kwakuwa Jackie amekamatwa Macau ambako kuna sheria tofauti na upande wa bara wa China, adhabu yake inaweza kuwa ndogo kuliko ile ya kunyongwa ambayo hutolewa bara.

1.jpg

Chief Rocka akiwa na girlfriend wake pamoja na Jackie na Jux **
“Inategemea ukikamatwa mainland China halafu labda ukakamatwa Macau au kwa Macau na Hong Kong ni kama uko kwetu nikama Tanzania na Zanzibar.

"Kwahiyo yeye alikokamatiwa ni kama yupo Zanzibar ni ndani ya China lakini inajitegemea lakini sheria zake sio kali sana.

"Lakini sasa mpaka wajaji kutokana na mzigo walioubeba, wengine wanasema miaka mitatu, wengine minne, wengine wanasema wanatoa kama Hong Kong miaka nane, so inategemea na akiisaidia polisi akisema watu aliokuwa akiwapelekea mzigo waliko na wakapatikana, I don’t know.”

Hata hivyo Chief amesema ameshangaa kuona jinsi Watanzania wanavyomhukumu mtu kabla ya kujua ukweli wa mambo.
1.jpg

“Yaani hii imereveal jinsi ambavyo Watanzania tuko. Sio kwamba nafahamiana sana na Jackie, nimefahamiana naye mara ya kwanza na ya mwisho, sikukaa naye hata kwa wiki tatu, I wouldn’t end up judging someone like how people wanavyojudge kwenye Instagram na mitandao mingine kwamba ‘kapatikana, kaumbuka, bado Jux zamu yake, sijui nini.”

Amesema kuonana na Jackie kwa sasa sio rahisi kwakuwa wengine wanasema uwezekano huo unaweza kupatikana mwezi wa tatu mwakani.
Chief ameongeza kuwa hakuna sehemu mbaya na hatari kukamatwa na madawa ya kulevya kama China.

“Navyosema kwamba I feel sorry for her ni kwasababu mimi nimekuwa hapa miaka mitano at least naongea kichina yaani hata wakikifunga you can socialise with people lakini sasa kwa yeye ambaye haiongei,… yaani ukiweka ubinadamu, ukiachana na hayo mambo sijui ya madawa ya kulevya yule ni msichana ni kama wasichana wengine wowote , yaani kama dada yako au demu wako akikamatwa awekwe ndani kwenye nchi ya ugeni ni jambo kubwa yaani especially kwa mtu ambaye umeshamfahamu kidogo huwezi kuanza kumjudge kisa amepost picha ya Benz yake, yaani she is a hardworking woman. Suala la madawa sio zuri lakini sio kila mtu anaweza akafanya.”

Rapper huyo amesema picha zilisombaa mtandaoni zikimuonesha msichana mwenye koti la njano akiwa amekamatwa ni za Jackie.

Ni ujinga tu,mnataka maisha ya haraka sana,muonekane mna pesa mnavaa vizuri,mnatembelea magari mazuri,sasa utakiona cha moto nyonga tu huyo mshenzi,kwani ungekaa ukapika chapati na vitumbua kwenu yangekukuta hayo??? Unamtetea eti hard working,mpuuzi wewe nenda basi kamtetee huko mbele ya safari,tutamjudge kwanini asifanyiwe hivyo??wangapi wamekaa wanafanya vitumbua ye ashindwe ana nini?? CHINA NYONGA HIYO PUSSY MBOVU.
 
Anaishi kifahar kila aina ya burudani na Nina hakika anawasikia kinyaa wale mateja wanaipiga debe vituoni na kubeba takataka na mizigo kwa ujira mdogo mno ambao anachangia wawe vile,kweli dunia haina huruma
 
Uwiano no tofauti sana wabebaji name watumiaji. Kama una ndugu mtumiji uwezi Kuwa na huruma kwa wanaokamatwa
 
Yaan hivyo vihela ni vya madawaa ya kulevyaa vinawapa kiburj loll
 
na anyongwe tu hakuna namna maana tumechoka na mimi nasema anyongwe tu.
 
Mimi siwezi kumhurumia muuza sembe aisee maana ndo chanzo cha ndugu zetu kuharibika na madawa
 
nampenda sana jackie jamani..hata baada ya hili kutokea sijui kama nimchukie au??!jux pia nampenda sanaa.
 
Mi nakumbuka aliwahi kumponda mume wake kuhusu drugs ss nayeye kumbe alinogewa et? Pesa bhana mbaya saaana na ht alikua anasema ye anavaa vitu vya dola Na kujiita Boss Lady.nilikua najiuliza alipata wapi kaz huku nakumbuka alikua anaishi BUGURUN maeneo ya Rozana kwa chini enz za nyuma
 
Back
Top Bottom