Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China

Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China

Anyongwe tu.....et hardworking women...kweli...? nyongelea mbal huko
 
Huyu nae mjinga sana heti watu wana mjudge juckie bila kujua.

Sasa mbona sijaona cha tofauti anacho ongea ambacho atujui.

huyu nae mjinga sana.
 
Naona kama kawa wanaijeria wanaendelea kuwatumia dada zetu,kwa kweli wale kitanzi maana tumechoka na huu ujinga.
 
nampenda sana jackie jamani..hata baada ya hili kutokea sijui kama nimchukie au??!jux pia nampenda sanaa.

Yaani hivi vioffer vya bia za weekend na kupakizwa kwenye mikweche yao ndio vinawatoa ufahamu kiasi kweli?
 
Yaani siku hizi waTZ tumekuwa wa ajabu sana!! Yaani msafirishaji tunamuita hard working... My foot, yaani huyu jamaa anafikiri kwa ma------ eeh?

Angekamatiwa mainland ti ungekuwa shega....nyonga tu mwishowe tupigwa stop hata tunaosafiri kihalali!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Alishawahi fanya interview Cloudtv na akajitapa kuwa pocket money yake kwa siku ni tshs milioni 3,so kumbe ni drug seller.
Hakuishia hapo,alisema hawezi kuigiza bongo movie kuwa hawana hela,kumbe mbwembwe zote hizo kumbe ni ..........!!!!!
 
This dude hayuko serious WTF anadhani people r envy na benz or stuff lk dat,amekamatwa na unga for God's sake 1.1 kg anajua ungetumiwa na nani anafahamu athari zake eti she cud a sisy or gf wat bout our brothaz na sistaz wanaotumia tunasema ahukumiwe for sake of majority wkt uyo m'mke alikua anafanya kwa faida yake aaaarrrgh ivi vitoto vikikaa nje vinawehuka he's such a d**k head.

He's an $#@hole
 
Yn sina la kusema,wana JF mmemaliza,drug punda nae anaitwa hardworking woman...?kw hyo watu waige?..ushauri wangu,anyongwee,alizidisha jeuri
 
Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff, Chief Rocka amethibitisha taarifa zilisosambaa kuwa msichana aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau, China ni yeye.
“Amekamatwa kweli,” Chief amesema Chief.
“Nilivyosikia story ni kwamba ametoka Bongo akapita Thailand baada ya kutoka Thailand akaenda Macau, Macau ndio akakamatwa.



"Mimi nilijua sababu nilipigia simu watu wa ubalozini baada ya kupata taarifa tu mara ya kwanza nikawapigia watu wa ubalozi nikawaambia ‘bana, ndugu yetu amekamatwa sasa nataka kujua process ikoje kama kuna kumuona au kama kuna chochote.

1.jpg

"Kuna ubalozi mwingine mdogo upo Hong Kong wao ndio wakaniambia mambo yalivyo kwamba alikuwa yupo yeye na watu wengine wawili, Mtanzania na Mnaijeria, yeye ndo kakamatwa, hawa wengine baada ya kuona wanataka kukamatwa wakakimbia,” Chief ameeleza.


Amesema kwakuwa Jackie amekamatwa Macau ambako kuna sheria tofauti na upande wa bara wa China, adhabu yake inaweza kuwa ndogo kuliko ile ya kunyongwa ambayo hutolewa bara.


1.jpg

Chief Rocka akiwa na girlfriend wake pamoja na Jackie na Jux **
“Inategemea ukikamatwa mainland China halafu labda ukakamatwa Macau au kwa Macau na Hong Kong ni kama uko kwetu nikama Tanzania na Zanzibar.


"Kwahiyo yeye alikokamatiwa ni kama yupo Zanzibar ni ndani ya China lakini inajitegemea lakini sheria zake sio kali sana.


"Lakini sasa mpaka wajaji kutokana na mzigo walioubeba, wengine wanasema miaka mitatu, wengine minne, wengine wanasema wanatoa kama Hong Kong miaka nane, so inategemea na akiisaidia polisi akisema watu aliokuwa akiwapelekea mzigo waliko na wakapatikana, I don’t know.”


Hata hivyo Chief amesema ameshangaa kuona jinsi Watanzania wanavyomhukumu mtu kabla ya kujua ukweli wa mambo.
1.jpg

“Yaani hii imereveal jinsi ambavyo Watanzania tuko. Sio kwamba nafahamiana sana na Jackie, nimefahamiana naye mara ya kwanza na ya mwisho, sikukaa naye hata kwa wiki tatu, I wouldn’t end up judging someone like how people wanavyojudge kwenye Instagram na mitandao mingine kwamba ‘kapatikana, kaumbuka, bado Jux zamu yake, sijui nini.”


Amesema kuonana na Jackie kwa sasa sio rahisi kwakuwa wengine wanasema uwezekano huo unaweza kupatikana mwezi wa tatu mwakani.
Chief ameongeza kuwa hakuna sehemu mbaya na hatari kukamatwa na madawa ya kulevya kama China.

“Navyosema kwamba I feel sorry for her ni kwasababu mimi nimekuwa hapa miaka mitano at least naongea kichina yaani hata wakikifunga you can socialise with people lakini sasa kwa yeye ambaye haiongei,… yaani ukiweka ubinadamu, ukiachana na hayo mambo sijui ya madawa ya kulevya yule ni msichana ni kama wasichana wengine wowote , yaani kama dada yako au demu wako akikamatwa awekwe ndani kwenye nchi ya ugeni ni jambo kubwa yaani especially kwa mtu ambaye umeshamfahamu kidogo huwezi kuanza kumjudge kisa amepost picha ya Benz yake, yaani she is a hardworking woman. Suala la madawa sio zuri lakini sio kila mtu anaweza akafanya.”

Rapper huyo amesema picha zilisombaa mtandaoni zikimuonesha msichana mwenye koti la njano akiwa amekamatwa ni za Jackie.

Uncle hardworking uanza na sifuri na ukiwaona utawajua tu nenda shambani huko vijijini kwenye kilimo., umeshawai kuwaona mama ntilie., wauza maji wakihangaika barabara na wasukuma mkokoteni yote hiyo ni mifano hao wanakula kwa jasho na nguvu .huyo dada yetu alikuwa kwenye kutafuta kwa njia isiyo rasmi na tatizo alimaliza maneno mfano binti kiziwi., mumewe alisema maneno mengi tena kwenye tv bila kuogopa.kwaiyo anachokivuna leo ndicho alipanda .tutafute ila tupunguze maonyesho kwa wengine.!!!..
 
Nawezaje toa pole ya dhat kwa kitu ambacho Mara zote kinapingwa kwa nguvu zote? Ni mwenzetu haijalish ni kwa hali gani yuko nayo ila naamin ni binti timamu ambae aliskia na anajua vita ya hiyo kitu Ulimwenguni, Pia madhara ya hiyo kitu kwa watumiaj. Awe mpole tu wamshughulikie
 
I lost my brother kwa sababu ya madawa ya kulevya...huyu dada ikiwezekana anyongwe tu,hana faida katika jamii yetu kabisa.
 
Huyu panya nini..hajuI ht analoongea au naye ni muuza sembe

Haka katoto kanatakiwa kakamatwe!!!na kenyewe kanauza sembe,wachina wa macao kazi kwenu maana wanajitaja mwenyewe!Jinga sana na huyu jux wao
 
Back
Top Bottom