Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China

Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China

Daah!nakumbuka cku moja akiwa,kwenye show ya wanawake live alivyokua anaongea kama mtoto,mwema.
 
chief rocka (edward nyerere) ni mshkaj wangu longtime n i can vouch for him. kaka usipende kuongea vitu usivovijua bila kua na ushahidi. ungeuliza kuliko kumuaccuse mtu in public namna hii.

plz revise my previous post and spot for me any accusation i had made over the guy whom u call "mshikaji wangu wa longtime".nime mu-accuse nini?.
 
Huyu mpu.mbavu chief rocka sijui ndo nani? Muuza madawa awe hard working?
 
Very stupid... akishakamatwa ndo tuongee kwa huruma. Alivokuwa anaendesha magar ya kifahar wenzie tunasota?? Nyambafffff sako wewe mtetezi na mtuhumiwa wako. Nyongelea huko tumsahau sisi katumwa au hajatumwa yeue si mtoto mdogo alikubali vya nini.... angepata hizo milioni tungegawana????? Mfyuuuuuuuuuuuuu
 
It is sad kuwa mwanamke mrembo anaacha kujishughulisha na kazi za maana anafanya kazi ya kuharibu watoto wasio na hatia...huu ushabiki sio kabisa. Kumbe uboss lady ni wa sembe...aibu na laana, acha wafungiwe huko
 
Sorry...chief ni yupi? Umbea huu umenikaba
 
Chief racka piga kimya usi-support wauza sembe wewe! Shule gani miaka mi5 haiishi? Jux unajua kwamba Jack cliff alitembea ni Liyumba?
 
The boss lady kakamatwaa si hua anasema ana pesaa atumie pesa zake kutoka huko
Mimi nna pesa heeew laana ya mume wakee hiyoo
 
swali la kizushi.chief rocka,juma jux na baadhi ya vijana waliohamishia makazi far east (china),wanajishughulisha na nini huko?.ukiunganisha dot unagundua hawa ndo ma agent wa kupokea vijana wenzao wabeba drugs toka tz nchini china hasa ktk mji wa quanzhou ambao umejaa vijana wengi wa kibongo.huwa nafatilia updates zao (chief,jux nk)instagram, mavazi wanavyovaa,magari wanayo push na maneo wanayo hang ni balaa.kwa kweli these boys are lavishing it real.

1388804805518.jpg1388804830969.jpg

Huyo ndo Jux kila siku kujisifu Ana hela
 
Inaskitisha tena sana.

Wengi tumepoteza ndugu na wapendwa wetu kwa balaa hili la sembe.

Yani mtu mpaka unaogopa juu ya vizazi vyetu.

Eehh Mungu tusaidie na utuepushe na balaa hili. Waokoe walokua washajiingiza. Amin
 
Kama kawaida ya warembo wa TZ,,, kazi zao Madawa,,kumilikiwa na vgogo !! kwao burudan hawatak kuumiza kichwa kwa kaz nyngne ,, Loh..
 
Boss lady mie nilivyokuona 2 jns ulivyokua unaongea waz nilijua wajihusisha na biashara ya madawa na pia unatumia,maana unasauti kama ya chura.
 
duhhhh mtaibikajeeeee...????

kumbe aliyekamatwa sio jackie, hahahahhaa duh
 
Back
Top Bottom