Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China

Anyongwe tu.....et hardworking women...kweli...? nyongelea mbal huko
 
Huyu nae mjinga sana heti watu wana mjudge juckie bila kujua.

Sasa mbona sijaona cha tofauti anacho ongea ambacho atujui.

huyu nae mjinga sana.
 
Naona kama kawa wanaijeria wanaendelea kuwatumia dada zetu,kwa kweli wale kitanzi maana tumechoka na huu ujinga.
 
nampenda sana jackie jamani..hata baada ya hili kutokea sijui kama nimchukie au??!jux pia nampenda sanaa.

Yaani hivi vioffer vya bia za weekend na kupakizwa kwenye mikweche yao ndio vinawatoa ufahamu kiasi kweli?
 
Yaani siku hizi waTZ tumekuwa wa ajabu sana!! Yaani msafirishaji tunamuita hard working... My foot, yaani huyu jamaa anafikiri kwa ma------ eeh?

Angekamatiwa mainland ti ungekuwa shega....nyonga tu mwishowe tupigwa stop hata tunaosafiri kihalali!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Alishawahi fanya interview Cloudtv na akajitapa kuwa pocket money yake kwa siku ni tshs milioni 3,so kumbe ni drug seller.
Hakuishia hapo,alisema hawezi kuigiza bongo movie kuwa hawana hela,kumbe mbwembwe zote hizo kumbe ni ..........!!!!!
 

He's an $#@hole
 
Yn sina la kusema,wana JF mmemaliza,drug punda nae anaitwa hardworking woman...?kw hyo watu waige?..ushauri wangu,anyongwee,alizidisha jeuri
 

Uncle hardworking uanza na sifuri na ukiwaona utawajua tu nenda shambani huko vijijini kwenye kilimo., umeshawai kuwaona mama ntilie., wauza maji wakihangaika barabara na wasukuma mkokoteni yote hiyo ni mifano hao wanakula kwa jasho na nguvu .huyo dada yetu alikuwa kwenye kutafuta kwa njia isiyo rasmi na tatizo alimaliza maneno mfano binti kiziwi., mumewe alisema maneno mengi tena kwenye tv bila kuogopa.kwaiyo anachokivuna leo ndicho alipanda .tutafute ila tupunguze maonyesho kwa wengine.!!!..
 
Nawezaje toa pole ya dhat kwa kitu ambacho Mara zote kinapingwa kwa nguvu zote? Ni mwenzetu haijalish ni kwa hali gani yuko nayo ila naamin ni binti timamu ambae aliskia na anajua vita ya hiyo kitu Ulimwenguni, Pia madhara ya hiyo kitu kwa watumiaj. Awe mpole tu wamshughulikie
 
I lost my brother kwa sababu ya madawa ya kulevya...huyu dada ikiwezekana anyongwe tu,hana faida katika jamii yetu kabisa.
 
Huyu panya nini..hajuI ht analoongea au naye ni muuza sembe

Haka katoto kanatakiwa kakamatwe!!!na kenyewe kanauza sembe,wachina wa macao kazi kwenu maana wanajitaja mwenyewe!Jinga sana na huyu jux wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…