Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff, Chief Rocka amethibitisha taarifa zilisosambaa kuwa msichana aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau, China ni yeye.
Amekamatwa kweli, Chief amesema Chief.
Nilivyosikia story ni kwamba ametoka Bongo akapita Thailand baada ya kutoka Thailand akaenda Macau, Macau ndio akakamatwa.
"Mimi nilijua sababu nilipigia simu watu wa ubalozini baada ya kupata taarifa tu mara ya kwanza nikawapigia watu wa ubalozi nikawaambia bana, ndugu yetu amekamatwa sasa nataka kujua process ikoje kama kuna kumuona au kama kuna chochote.
"Kuna ubalozi mwingine mdogo upo Hong Kong wao ndio wakaniambia mambo yalivyo kwamba alikuwa yupo yeye na watu wengine wawili, Mtanzania na Mnaijeria, yeye ndo kakamatwa, hawa wengine baada ya kuona wanataka kukamatwa wakakimbia, Chief ameeleza.
Amesema kwakuwa Jackie amekamatwa Macau ambako kuna sheria tofauti na upande wa bara wa China, adhabu yake inaweza kuwa ndogo kuliko ile ya kunyongwa ambayo hutolewa bara.
Chief Rocka akiwa na girlfriend wake pamoja na Jackie na Jux **
Inategemea ukikamatwa mainland China halafu labda ukakamatwa Macau au kwa Macau na Hong Kong ni kama uko kwetu nikama Tanzania na Zanzibar.
"Kwahiyo yeye alikokamatiwa ni kama yupo Zanzibar ni ndani ya China lakini inajitegemea lakini sheria zake sio kali sana.
"Lakini sasa mpaka wajaji kutokana na mzigo walioubeba, wengine wanasema miaka mitatu, wengine minne, wengine wanasema wanatoa kama Hong Kong miaka nane, so inategemea na akiisaidia polisi akisema watu aliokuwa akiwapelekea mzigo waliko na wakapatikana, I dont know.
Hata hivyo Chief amesema ameshangaa kuona jinsi Watanzania wanavyomhukumu mtu kabla ya kujua ukweli wa mambo.
Yaani hii imereveal jinsi ambavyo Watanzania tuko. Sio kwamba nafahamiana sana na Jackie, nimefahamiana naye mara ya kwanza na ya mwisho, sikukaa naye hata kwa wiki tatu, I wouldnt end up judging someone like how people wanavyojudge kwenye Instagram na mitandao mingine kwamba kapatikana, kaumbuka, bado Jux zamu yake, sijui nini.
Amesema kuonana na Jackie kwa sasa sio rahisi kwakuwa wengine wanasema uwezekano huo unaweza kupatikana mwezi wa tatu mwakani.
Chief ameongeza kuwa hakuna sehemu mbaya na hatari kukamatwa na madawa ya kulevya kama China.
Navyosema kwamba I feel sorry for her ni kwasababu mimi nimekuwa hapa miaka mitano at least naongea kichina yaani hata wakikifunga you can socialise with people lakini sasa kwa yeye ambaye haiongei, yaani ukiweka ubinadamu, ukiachana na hayo mambo sijui ya madawa ya kulevya yule ni msichana ni kama wasichana wengine wowote , yaani kama dada yako au demu wako akikamatwa awekwe ndani kwenye nchi ya ugeni ni jambo kubwa yaani especially kwa mtu ambaye umeshamfahamu kidogo huwezi kuanza kumjudge kisa amepost picha ya Benz yake, yaani she is a hardworking woman. Suala la madawa sio zuri lakini sio kila mtu anaweza akafanya.
Rapper huyo amesema picha zilisombaa mtandaoni zikimuonesha msichana mwenye koti la njano akiwa amekamatwa ni za Jackie.
Haka katoto kanatakiwa kakamatwe!!!na kenyewe kanauza sembe,wachina wa macao kazi kwenu maana wanajitaja mwenyewe!Jinga sana na huyu jux wao
Huyu nae hakuna alichoongea ebu apishe hivi..anajua maana ya hardworker?et she z a hard workn woman. hardworkn my left leg mfyuu!kanchefua!
Au nae mulemule?
Jamani, mtoa taarifa ni RAFIKI WA KARIBU wa Jackie.....sasa sielewi kwa nini mnapingana na maoni yake. Ni sawa na kumnanga lucifer alipompokea Hitler, akamkumbatia na kumuita hardwoker...... Kama mtoa taarifa aliridhia utendaji wa rafiki yake wa karibu kwa jinsi walivyokuwa wanajituma kama Punda......then yes......she is a hard worker. Punda wote ni hardworkers...ndio nijuavyo mimi........ Alafu sijui huko mnapoishi nyie wenzangu....lakini huku kwetu idadi ya mateja wapiga debe...waokota makopo na vyupa wanaongezeka kila kukicha...hapo sijawataja wasanii wa bongofleva.....kina marehemu Ngwair, Langa.........Ray c kaponea tundu la sindano...Banza Stone ndio huyo tia maji tia maji....Chidi akisharanduka stimu zinahamia kwenye ngumi......kweli bado mnataka kupingana na RAFIKI anaposema Jack is a hardworking girl ?
Aje mashambani huku tumuonyeshe hardworkers wanafananaje!!!
Hakuna miujiza ndugu yangu...ni hadi pale tutakapokuwa tayari kujitoa muhanga kukaabiliana na hili janga hatari. Kuna wakati gazeti moja lilimtaja Diamond kati ya wanaohisiwa kujihusisha na hizi ishu....nikahoji....hivi ni kweli hakuna watu wengi tu hapa nchini wanaomiliki mali za mamilioni zisizo na maelezo manyoofu nyuma yake....ambao tukiunganisha nguvu tunaweza kushinikiza mamlaka kuwahoji. Lakini ndio hivyo tena.......nani anathubutu ?hahahahahaa... Una falsafa nzuri sana... Yaani we ongelea hao unaowasikia rafiki... Mimi nakutana nao kila siku wakikueleza ni jinsi gani walianza na nini kinafuata baada ya hapo... Yaani ni mateso makali... Wanapata adha sana wale watumiaji... Maana ukishaanza si kama titti la mama utasub na kopo au ngombe... Pale ndio umejiwekea pingu ukileta ubishi inakaza zaidi... Watoto wa miaka kumi na tano... Mie marehemu kaka ndio alikuwa ananituma... Nikileta nami naonja kidogo... Sasa... Shule hataki.. Na craving yake ni kama ukibanwa na mkojo huwezi kuvunga huusikii... Mwisho wa siku akikosa hela anaiba... Anakukaba..... Ukiacha watotot home anabaka... Akienda kudunga anapata maradhi... So utalia tu pale umemlea mtoto wako kwa gharama akiwa na miaka 10.. Anabakwa anaambukizwa gonjwa...yaani apo we ndio utajua kwa nini watu wanahasira namna hii..... Maanathe boss lady beach babe alikuwa anazisaka kwa juhudi zikarudi tena kwenu.... Kiukweli Mungu ye ndio ajuae hatma ya haya.. Ila tunaamini atatenda miujiza kama ile ya misri na israel kizazi chetu kiweze kukombolewa... amen!
swali la kizushi.chief rocka,juma jux na baadhi ya vijana waliohamishia makazi far east (china),wanajishughulisha na nini huko?.ukiunganisha dot unagundua hawa ndo ma agent wa kupokea vijana wenzao wabeba drugs toka tz nchini china hasa ktk mji wa quanzhou ambao umejaa vijana wengi wa kibongo.huwa nafatilia updates zao (chief,jux nk)instagram, mavazi wanavyovaa,magari wanayo push na maneo wanayo hang ni balaa.kwa kweli these boys are lavishing it real.