mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
Hahaaha, napata hisia kwa nini unahangaika kutafuta rafiki wa kike wakati wamejaa tele, inabidi ujirekebishe kimtazamo kwenye yafuatayo:
4. Asiwe mnywaji wa pombe, kama anakunywa may be wine.
5.awe na uwezo wa kujigharimia nauli na vinywaji tutakapokutana
Kama nia ni kubadilishana mawazo unywaji wa mtu unahusikaje? na unachokiogopa ni unywaji wa pombe zingine tofauti na wine au ni ulevi unaosababishwa na unywaji wa aina yoyote ya pombe?
No. 5 inakuondolea heshima na kupunguza chances za kumpata huyo rafiki kwa kiwango kikubwa sana, kama wewe hunywi pombe na yeye hutaki anywe sasa bili unazoogopa kulipa ni zipi? Na nauli unayozungumzia ni hizi sh 400/=?
Mwisho: kwa hivyo vigezo vyote unatafuta rafiki wa kubadilishana mawazo tu? au unatafuta mke?
hahaaa masharti mbona kama magum hivyo huyo ni rafiki wa kike tuu wa kubadilishana mawazo ukitaka wa kuoa si ndo balaa
duuuh???
Natumai wadada hatoitikia hapa kwani jina linaonekana kama mkurya hivi, wanaogopa kichapo na mkono wa sweta.
Natumai wadada hatoitikia hapa kwani jina linaonekana kama mkurya hivi, wanaogopa kichapo na mkono wa sweta.
Wana mmu,
poleni na majukumu ya kila siku natumiani wote mu wazima kabisa
dhamira kuu ya kuanzishisha haka ka uzi, ni kutaka kupata rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo kuhusu maisha kwa ujumla.
Sifa ni pamoja na lakini si kikomo( including but not limited to)
1. Elimu kuanzia form six
2.awe mwanakwaaya kama si mwana kwaya awe anapenda kwaya
3.umri mi1k1 18-23
4. Asiwe mnywaji wa pombe, kama anakunywa may be wine.
5.awe na uwezo wa kujigharimia nauli na vinywaji tutakapokutana
6. Akiwa dar itakuwa vizuri zaidi.
7.asiwe na hulka ya kupiga mizinga
8.awe anavaa mavazi ya heshima.
9. Awe na mawazo positive towards life
10. Asiwe mpenda madisco
kama yupo ani pm
hahaaa masharti mbona kama magum hivyo huyo ni rafiki wa kike tuu wa kubadilishana mawazo ukitaka wa kuoa si ndo balaa
Wana mmu,
poleni na majukumu ya kila siku natumiani wote mu wazima kabisa
dhamira kuu ya kuanzishisha haka ka uzi, ni kutaka kupata rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo kuhusu maisha kwa ujumla.
Sifa ni pamoja na lakini si kikomo( including but not limited to)
1. Elimu kuanzia form six
2.awe mwanakwaaya kama si mwana kwaya awe anapenda kwaya
3.umri mi1k1 18-23
4. Asiwe mnywaji wa pombe, kama anakunywa may be wine.
5.awe na uwezo wa kujigharimia nauli na vinywaji tutakapokutana
6. Akiwa dar itakuwa vizuri zaidi.
7.asiwe na hulka ya kupiga mizinga
8.awe anavaa mavazi ya heshima.
9. Awe na mawazo positive towards life
10. Asiwe mpenda madisco
kama yupo ani pm
nimesema including but not limited anaweza kuwa na kimojawapo kati ya hivyo, pia rafiki mwema hutengeneza mchumba mwema mwisho hutengeneza mke mwemahuyo unametaka nirafiki au mke?maana hayo masharti utafikiri unataka kuchumbia.