mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
Wana mmu,
poleni na majukumu ya kila siku natumiani wote mu wazima kabisa
dhamira kuu ya kuanzishisha haka ka uzi, ni kutaka kupata rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo kuhusu maisha kwa ujumla.
Sifa ni pamoja na lakini si kikomo( including but not limited to)
1. Elimu kuanzia form six
2.awe mwanakwaaya kama si mwana kwaya awe anapenda kwaya
3.umri mi1k1 18-23
4. Asiwe mnywaji wa pombe, kama anakunywa may be wine.
5.awe na uwezo wa kujigharimia nauli na vinywaji tutakapokutana
6. Akiwa dar itakuwa vizuri zaidi.
7.asiwe na hulka ya kupiga mizinga
8.awe anavaa mavazi ya heshima.
9. Awe na mawazo positive towards life
10. Asiwe mpenda madisco
kama yupo ani pm