Rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo

Rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Posts
7,922
Reaction score
3,618
Wana mmu,
poleni na majukumu ya kila siku natumiani wote mu wazima kabisa
dhamira kuu ya kuanzishisha haka ka uzi, ni kutaka kupata rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo kuhusu maisha kwa ujumla.
Sifa ni pamoja na lakini si kikomo( including but not limited to)
1. Elimu kuanzia form six
2.awe mwanakwaaya kama si mwana kwaya awe anapenda kwaya
3.umri mi1k1 18-23
4. Asiwe mnywaji wa pombe, kama anakunywa may be wine.
5.awe na uwezo wa kujigharimia nauli na vinywaji tutakapokutana
6. Akiwa dar itakuwa vizuri zaidi.
7.asiwe na hulka ya kupiga mizinga
8.awe anavaa mavazi ya heshima.
9. Awe na mawazo positive towards life
10. Asiwe mpenda madisco

kama yupo ani pm
 
Hahaaha, napata hisia kwa nini unahangaika kutafuta rafiki wa kike wakati wamejaa tele, inabidi ujirekebishe kimtazamo kwenye yafuatayo:

Kama nia ni kubadilishana mawazo unywaji wa mtu unahusikaje? na unachokiogopa ni unywaji wa pombe zingine tofauti na wine au ni ulevi unaosababishwa na unywaji wa aina yoyote ya pombe?

No. 5 inakuondolea heshima na kupunguza chances za kumpata huyo rafiki kwa kiwango kikubwa sana, kama wewe hunywi pombe na yeye hutaki anywe sasa bili unazoogopa kulipa ni zipi? Na nauli unayozungumzia ni hizi sh 400/=?

Mwisho: kwa hivyo vigezo vyote unatafuta rafiki wa kubadilishana mawazo tu? au unatafuta mke?
 
hahaaa masharti mbona kama magum hivyo huyo ni rafiki wa kike tuu wa kubadilishana mawazo ukitaka wa kuoa si ndo balaa
 
Natumai wadada hatoitikia hapa kwani jina linaonekana kama mkurya hivi, wanaogopa kichapo na mkono wa sweta.
 
rafiki wa kubadilishana mawazo
ndio mpaka nguo umchagulie akhuu babu!!
mke c itakua balaa!!
 
just rafiki tu sio mke
Hahaaha, napata hisia kwa nini unahangaika kutafuta rafiki wa kike wakati wamejaa tele, inabidi ujirekebishe kimtazamo kwenye yafuatayo:

4. Asiwe mnywaji wa pombe, kama anakunywa may be wine.
5.awe na uwezo wa kujigharimia nauli na vinywaji tutakapokutana

Kama nia ni kubadilishana mawazo unywaji wa mtu unahusikaje? na unachokiogopa ni unywaji wa pombe zingine tofauti na wine au ni ulevi unaosababishwa na unywaji wa aina yoyote ya pombe?

No. 5 inakuondolea heshima na kupunguza chances za kumpata huyo rafiki kwa kiwango kikubwa sana, kama wewe hunywi pombe na yeye hutaki anywe sasa bili unazoogopa kulipa ni zipi? Na nauli unayozungumzia ni hizi sh 400/=?

Mwisho: kwa hivyo vigezo vyote unatafuta rafiki wa kubadilishana mawazo tu? au unatafuta mke?
 
Natumai wadada hatoitikia hapa kwani jina linaonekana kama mkurya hivi, wanaogopa kichapo na mkono wa sweta.

Mkuu Kizamani, mimi naomba nimsaidie huyu bwana hapo kwenye green inaweza kuwa uko sahihi, bado watu wana element za uoga pindi wanapoona jina la kabila hilo, lakini hapo kwenye red hapana hakuna mkurya anayemiliki hiyo kitu unaita mkono sweta, nadhani hata mkuu Mwita Maranya na wengine wanaweza kulithibitisha hilo.
 
Last edited by a moderator:
Wana mmu,
poleni na majukumu ya kila siku natumiani wote mu wazima kabisa
dhamira kuu ya kuanzishisha haka ka uzi, ni kutaka kupata rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo kuhusu maisha kwa ujumla.
Sifa ni pamoja na lakini si kikomo( including but not limited to)
1. Elimu kuanzia form six
2.awe mwanakwaaya kama si mwana kwaya awe anapenda kwaya
3.umri mi1k1 18-23
4. Asiwe mnywaji wa pombe, kama anakunywa may be wine.
5.awe na uwezo wa kujigharimia nauli na vinywaji tutakapokutana
6. Akiwa dar itakuwa vizuri zaidi.
7.asiwe na hulka ya kupiga mizinga
8.awe anavaa mavazi ya heshima.
9. Awe na mawazo positive towards life
10. Asiwe mpenda madisco

kama yupo ani pm

In addition, kwa nini unafikiria nauli kwa wewe huwezi kumfuta alipo? Na km ni mwana kwaya atapata wap muda wa kubalishana mawazo na wewe wakati muda wote anafikiria kutunga nyimbo, kufanya mazoezi na kazi za nyumbani? Elimu inahusiana na nini na busara za maisha ya sasa? Mtoa mada hata wewe elimu yako ndogo na ndio maana hata masharti yako hayana mashiko.
 
nahisi wewe utakuwa msabato pia kuhusu mavazi wewe yanakuhusu nini kwa style hiyo mkeo atapata tabu unasera za magoto

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Simba na Swala wanataka kukutana kubadilishana mawazo ya kimaisha. Mbona hujaweka ratiba ya muda wa kuanza kubadilishana hayo mawazo na muda wa kumaliza kubadilisha mawazo kwa kila siku, au mnaendelea tu mpaka usiku wa manane? Hahahahahahahahahhahaha
 
Wana mmu,
poleni na majukumu ya kila siku natumiani wote mu wazima kabisa
dhamira kuu ya kuanzishisha haka ka uzi, ni kutaka kupata rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo kuhusu maisha kwa ujumla.
Sifa ni pamoja na lakini si kikomo( including but not limited to)
1. Elimu kuanzia form six
2.awe mwanakwaaya kama si mwana kwaya awe anapenda kwaya
3.umri mi1k1 18-23
4. Asiwe mnywaji wa pombe, kama anakunywa may be wine.
5.awe na uwezo wa kujigharimia nauli na vinywaji tutakapokutana
6. Akiwa dar itakuwa vizuri zaidi.
7.asiwe na hulka ya kupiga mizinga
8.awe anavaa mavazi ya heshima.
9. Awe na mawazo positive towards life
10. Asiwe mpenda madisco

kama yupo ani pm

Huyo unametaka nirafiki au mke?maana hayo masharti utafikiri unataka kuchumbia.
 
huyo unametaka nirafiki au mke?maana hayo masharti utafikiri unataka kuchumbia.
nimesema including but not limited anaweza kuwa na kimojawapo kati ya hivyo, pia rafiki mwema hutengeneza mchumba mwema mwisho hutengeneza mke mwema
 
Back
Top Bottom