Rafiki wa Kweli ni yupi?

Rafiki wa Kweli ni yupi?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Hii iko wazi kabisa kuwa Marafiki wengi husalitiana Mume kwa Mke.
Malalamiko ya marafiki kugeukana yamekuwa mengi kipindi hiki.
Hata mahakamani kesi nyingi ni za watu ambao waliwahi kuwa marafiki wakubwa wakashirikiana katika baadhi ya mambo mwisho wa siku wakagombana na kupelekana mahakamani.
Lakini pia unapopata tatizo mtu wa kwanza kutafutwa ni rafiki yako wa karibu kuulizwa uko wapi na unafanya nini ama kwa nini umebadilika.

Je una rafiki unayemuamini na kumpa siri zako zote?
Tujuze rafiki wa kweli ana sifa zipi?
 
Rafiki wa kweli moyo wangu
Japo naishi vizuri na majirani
Rafiki wa kweli ni kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein aliyeamua kufa kwa kuutetea na kuulinda uislam.

Kupitia yeye Allah katupa Tawfiq tunauhakika wa jannah.

Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet kipenzi chetu Imam Hussein rafiki wa kweli.

adriz
 
Hii iko wazi kabisa kuwa Marafiki wengi husalitiana Mume kwa Mke.
Malalamiko ya marafiki kugeukana yamekuwa mengi kipindi hiki.
Hata mahakamani kesi nyingi ni za watu ambao waliwahi kuwa marafiki wakubwa wakashirikiana katika baadhi ya mambo mwisho wa siku wakagombana na kupelekana mahakamani.
Lakini pia unapopata tatizo mtu wa kwanza kutafutwa ni rafiki yako wa karibu kuulizwa uko wapi na unafanya nini ama kwa nini umebadilika.

Je una rafiki unayemuamini na kumpa siri zako zote?
Tujuze rafiki wa kweli ana sifa zipi?
Sihitaj marafik labda mwenyew akitokea, aje mmoja wa kuongea nae na mwingine wa kumuongelea
 
Rafiki wa kweli ni kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein aliyeamua kufa kwa kuutetea na kuulinda uislam.

Kupitia yeye Allah katupa Tawfiq tunauhakika wa jannah.

Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet kipenzi chetu Imam Hussein rafiki wa kweli.

adriz
Natamani kipenzi chetu angekuwepo...angetusaidia kwenye vitu vingi sana
Kwanini walimuua imamu hussein😭😭😭
 
Hii iko wazi kabisa kuwa Marafiki wengi husalitiana Mume kwa Mke.
Malalamiko ya marafiki kugeukana yamekuwa mengi kipindi hiki.
Hata mahakamani kesi nyingi ni za watu ambao waliwahi kuwa marafiki wakubwa wakashirikiana katika baadhi ya mambo mwisho wa siku wakagombana na kupelekana mahakamani.
Lakini pia unapopata tatizo mtu wa kwanza kutafutwa ni rafiki yako wa karibu kuulizwa uko wapi na unafanya nini ama kwa nini umebadilika.

Je una rafiki unayemuamini na kumpa siri zako zote?
Tujuze rafiki wa kweli ana sifa zipi?
Kiboko ya wachawi
 
Back
Top Bottom