kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Mnaokuwa wote wakati wa raha na shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sio mtume muhammad ?Rafiki wa kweli ni kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein aliyeamua kufa kwa kuutetea na kuulinda uislam.
Kupitia yeye Allah katupa Tawfiq tunauhakika wa jannah.
Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet kipenzi chetu Imam Hussein rafiki wa kweli.
adriz
Kumbe hizi habari ni za kweli mkuu ?Hao hao mkuu wana vichwa vigumu sana ndio maana haturuhusu wanawake wetu waitwe Ayesha/Aisha kamwe huwezi kumkuta mwanamke wa kishia anaitwa Ayesha.
Imam Hussein FOREVER
Yamekuwa hayo tena mama?🤣🤣🤣🤣🤣
Basi naomba hela rafiki yangu😋😋
Huyo Ayesha shia wanamchukia kwasababu wanadai alikuwa malaya/kahaba alikuwa anatembea na marafiki zake mtume na kuoga uchi hadharani mbele za wanaume.Kumbe hizi habari ni za kweli mkuu ?
Nini sababu ya hayo ikiwa jina halina kosa lolote ?
Duh hatari.Huyo Ayesha shia wanamchukia kwasababu wanadai alikuwa malaya/kahaba alikuwa anatembea na marafiki zake mtume na kuoga uchi hadharani mbele za wanaume.
Pia Ayesha alimnyanyasa sana bibi yake Imam Hussain Bi Khadija pamoja na binti yake aliyezaa na Mtume Fatima.
Tenda MEMA nenda zako usingoje ......Hii iko wazi kabisa kuwa Marafiki wengi husalitiana Mume kwa Mke.
Malalamiko ya marafiki kugeukana yamekuwa mengi kipindi hiki.
Hata mahakamani kesi nyingi ni za watu ambao waliwahi kuwa marafiki wakubwa wakashirikiana katika baadhi ya mambo mwisho wa siku wakagombana na kupelekana mahakamani.
Lakini pia unapopata tatizo mtu wa kwanza kutafutwa ni rafiki yako wa karibu kuulizwa uko wapi na unafanya nini ama kwa nini umebadilika.
Je una rafiki unayemuamini na kumpa siri zako zote?
Tujuze rafiki wa kweli ana sifa zipi?
Hahaha hahaha hahahaDuh hatari.
Bila shaka ni habari za kutunga ambazo ni mpuuzi pekee anaweza kuamini.
Mimi hii leo niambiwe kwamba imam komein alikuwa anafanya hayo nakataa hata kama ni mshia.
Kuna mambo wapuuzi tu ndio watakubali.
Umefurahi sana mkuu.Hahaha hahaha hahaha
🤣🤣🤣 Rafiki kufaana.Yamekuwa hayo tena mama?🤣
Yah sure...mud utaongea...Ikimaanisha hakuna Rafiki wa kweli
Kuna mtu nilikua simwelewi alisema yeye hana marafiki ila ana acquaintancesYah sure...mud utaongea...
Ni marafiki ila sio kweli kwamba wanaweza kukupa Assurance ya asilimia 100...so do not trust much...Kuna mtu nilikua simwelewi alisema yeye hana marafiki ila ana acquaintances
Unakua na watu ambao mnafahamiana kidogo sana ila unajua ukitaka kitu kipi umuulize yupi. Hao ndio acquaintance, Yani sio kiviiile.Ni marafiki ila sio kweli kwamba wanaweza kukupa Assurance ya asilimia 100...so do not trust much...
OOkey basi hata marafiki pia ndo wa kufanywa hivyo...asikujue saaaaaanaaaUnakua na watu ambao mnafahamiana kidogo sana ila unajua ukitaka kitu kipi umuulize yupi. Hao ndio acquaintance, Yani sio kiviiile.