Uko wapi?Rafiki wa kweli ni mimi hapa.....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipigieee nipigie nlikua naosha vyomboUko wapi?
Rafiki wa kweli ni kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein aliyeamua kufa kwa kuutetea na kuulinda uislam.Rafiki wa kweli moyo wangu
Japo naishi vizuri na majirani
Sihitaj marafik labda mwenyew akitokea, aje mmoja wa kuongea nae na mwingine wa kumuongeleaHii iko wazi kabisa kuwa Marafiki wengi husalitiana Mume kwa Mke.
Malalamiko ya marafiki kugeukana yamekuwa mengi kipindi hiki.
Hata mahakamani kesi nyingi ni za watu ambao waliwahi kuwa marafiki wakubwa wakashirikiana katika baadhi ya mambo mwisho wa siku wakagombana na kupelekana mahakamani.
Lakini pia unapopata tatizo mtu wa kwanza kutafutwa ni rafiki yako wa karibu kuulizwa uko wapi na unafanya nini ama kwa nini umebadilika.
Je una rafiki unayemuamini na kumpa siri zako zote?
Tujuze rafiki wa kweli ana sifa zipi?
Natamani kipenzi chetu angekuwepo...angetusaidia kwenye vitu vingi sanaRafiki wa kweli ni kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein aliyeamua kufa kwa kuutetea na kuulinda uislam.
Kupitia yeye Allah katupa Tawfiq tunauhakika wa jannah.
Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet kipenzi chetu Imam Hussein rafiki wa kweli.
adriz
Hahaha hahahaNatamani kipenzi chetu angekuwepo...angetusaidia kwenye vitu vingi sana
Kwanini walimuua imamu hussein😭😭😭
kiazi wewe unajuana nayesu?wewe ni eskarioti?RAFIKI WA KWELI YESU UKIWA KWA TABU YUPO NAWE UKIWA KWENYE FURAHA PIA YUPO NAWE
Huyo ni sunni🤣🤣🤣...ndio walimuua imamu husseinTulia weweee utakuwa ni Sunni
Kiboko ya wachawiHii iko wazi kabisa kuwa Marafiki wengi husalitiana Mume kwa Mke.
Malalamiko ya marafiki kugeukana yamekuwa mengi kipindi hiki.
Hata mahakamani kesi nyingi ni za watu ambao waliwahi kuwa marafiki wakubwa wakashirikiana katika baadhi ya mambo mwisho wa siku wakagombana na kupelekana mahakamani.
Lakini pia unapopata tatizo mtu wa kwanza kutafutwa ni rafiki yako wa karibu kuulizwa uko wapi na unafanya nini ama kwa nini umebadilika.
Je una rafiki unayemuamini na kumpa siri zako zote?
Tujuze rafiki wa kweli ana sifa zipi?
Hao hao mkuu wana vichwa vigumu sana ndio maana haturuhusu wanawake wetu waitwe Ayesha/Aisha kamwe huwezi kumkuta mwanamke wa kishia anaitwa Ayesha.Huyo ni sunni🤣🤣🤣...ndio walimuua imamu hussein