Rafiki wa Kweli ni yupi?

Wazazi wako tu waliokuleta duniani ndio Marafiki wa kweli kwa mtu yoyote yule.
 
Ukininunulia POMBE wewe ni rafiki yangu....

Hakuna marafiki kama walevi, hakuna🍺🍺🍺
 
Rafiki wa kweli ni yule mnaosapotiana kwa baadhi vitu na yupo radhi kukufichia aibu na madhaifu yako.
Ila ni ngumu kupata marafiki wa kweli wengi tuna washikaji tu
 
Daah aisee marafiki hawa..
Mara nyingi mi huwa sina rafiki wa kusema huyu ndio dam damu an mana mara nyingi huwa na urafiki ule wa benefit baada ya hapo kula mtu anakula upande wake
 
Acha Imani potofu kijana , unadhani uislamu ni sawa na Ukafiri upate uhakika wa pepo kupitia kumtegemea kumbe ?
 
Acha Imani potofu kijana , unadhani uislamu ni sawa na Ukafiri upate uhakika wa pepo kupitia kumtegemea kumbe ?
Hii Tawfiq kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein alifanikisha tumeipata hata ufanyaje hakuna atakeyenipokonya.

Na kuhakikishia adriz jannah nitaiona, Imam Hussein nitamuona na qauli thabeet nitapewa.
 
Hii Tawfiq kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein alifanikisha tumeipata hata ufanyaje hakuna atakeyenipokonya.

Na kuhakikishia adriz jannah nitaiona, Imam Hussein nitamuona na qauli thabeet nitapewa.
Bange mbaya sana , kijana kama unataka Jannah tegemea kwa Allaah pekee na silimu kwa kufuata mafundisho sahihi ya uislamu kwa ufahamu sahihi.

Acha kuishi kwa kurandaranda , huku sio kama kwenu Yesu amepewa Mamlaka ya kiiungu na unataka kuwaiga Mashia kuhamishia hiyo itikadi kwa Hussein (Radhi za Allaah ziwe juu yake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…