Rafiki wa Kweli ni yupi?

Rafiki wa kweli ni yule unayemuona wakati ukijitizama kwenye kioo.
 
Na sio mtume muhammad ?
 
Hao hao mkuu wana vichwa vigumu sana ndio maana haturuhusu wanawake wetu waitwe Ayesha/Aisha kamwe huwezi kumkuta mwanamke wa kishia anaitwa Ayesha.

Imam Hussein FOREVER
Kumbe hizi habari ni za kweli mkuu ?

Nini sababu ya hayo ikiwa jina halina kosa lolote ?
 
Rafiki wa kweli ni yule ambaye unajua atatunza siri zako hata bila kumuambia kwamba asimwambie mtu.
 
Kumbe hizi habari ni za kweli mkuu ?

Nini sababu ya hayo ikiwa jina halina kosa lolote ?
Huyo Ayesha shia wanamchukia kwasababu wanadai alikuwa malaya/kahaba alikuwa anatembea na marafiki zake mtume na kuoga uchi hadharani mbele za wanaume.
Pia Ayesha alimnyanyasa sana bibi yake Imam Hussain Bi Khadija pamoja na binti yake aliyezaa na Mtume Fatima.

Chini hapa ni seal ya kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet.



Na hapa chini ndo mwamba mwenyewe aliopigania, kuutetea na kuulinda uislamu Imam Hussein.


adriz hydroxo Chaliifrancisco ephen_ Mufti kuku The Infinity dronedrake Code 255
 
Duh hatari.

Bila shaka ni habari za kutunga ambazo ni mpuuzi pekee anaweza kuamini.

Mimi hii leo niambiwe kwamba imam komein alikuwa anafanya hayo nakataa hata kama ni mshia.

Kuna mambo wapuuzi tu ndio watakubali.
 
Te Tenda MEMA nenda zako usingoje ......
 
Duh hatari.

Bila shaka ni habari za kutunga ambazo ni mpuuzi pekee anaweza kuamini.

Mimi hii leo niambiwe kwamba imam komein alikuwa anafanya hayo nakataa hata kama ni mshia.

Kuna mambo wapuuzi tu ndio watakubali.
Hahaha hahaha hahaha
 
Hahaha hahaha hahaha
Umefurahi sana mkuu.

Kwemye Dini ya uisilamu na madehebu yake kuna propaganda nyingi san ambazo ukizifuata unaingia kwemye chuki za kimadhehebu.

Only focus na qurani na mantiki na uhalisia wa mambo kwa mujibu wa akili yako.

Otherwise ni kujitoa akili n kuwa kama wengine huku mfumo wa kubaguana ukiendelea.
 
Uchafute wimbo wa marehem ,langa unaitwa rafiki wa kweli mule ndo utapata jawabu la swali lako
 
Neno urafiki ni moments, hivyo zikiisha nao urafiki huisha thus watu wanaoana then wanaachana na kila kila mtu anaendelea na maisha yake. Hivyohivyo kwenye hali zote za maisha
 
Ni marafiki ila sio kweli kwamba wanaweza kukupa Assurance ya asilimia 100...so do not trust much...
Unakua na watu ambao mnafahamiana kidogo sana ila unajua ukitaka kitu kipi umuulize yupi. Hao ndio acquaintance, Yani sio kiviiile.
 
Unakua na watu ambao mnafahamiana kidogo sana ila unajua ukitaka kitu kipi umuulize yupi. Hao ndio acquaintance, Yani sio kiviiile.
OOkey basi hata marafiki pia ndo wa kufanywa hivyo...asikujue saaaaaanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…