Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Wanaume wa Dar mkuu. Ulitegemea nini?Kweli viroba vinapunguza nguvu za asili yaani mtu 5 wamemkimbia mtu mmoja!!! Hadi wamemwitia mwizi!!!daa r.i.p kalale pahali pema bondia!![emoji86] [emoji86]
Asee kusema na ukweli hapa wamenitia aibu yaani mtu amepigwa moja tuu hadi chini sipati picha ilikuwa na uzito gani!!Wanaume wa Dar mkuu. Ulitegemea nini?
Yawezekana kuna jingine haliongelewiYani kisa 1000 tu??
Buku moja imemtoa uhai#Ubabe wa kipumbafHayo ndio matokeo ya ubabe wa kipumbavu!
-Nyerere-
Mtaani hakuna cha ubondia wala u tai chi wala taikondo huku ni ujuzi wa kutumia zana na mawe tu.wababe kibao wanakalishwa mamamae piga nondo ya ugoko mwenyewe lzma uwe mpole....halla kwa wana wote wa devis konA, tandika relini,yombo dovya, makangarawe,yombo buza kwa lulenge,buza kanisani,kipela,capetown,changulu,kirakala mpk machimbo.....Rip Mashali,poleni wana familia.Angejua kuwa makomandoo na weledi wa martial arts wala huwa hawapigani hovyo hovyo mabarabarani na kwenye mabaa ingemsaidia sana. Anyway, safari yake imeshakamilika. Apumzike kwa amani.
Marehemu alaumiwi lakini ukweli lazima usemwe kama walikubaliana bei ya 3000/- kabla na yeye akagoma alipofika kisha ukazuka ugomvi huo jamaa alikuwa mnyanganyi kwa kutumia silaha ambayo ni ujuzi wake wa ngumi kwa hivo alikuwa mwizi kweli. Fedha umdhulumu na ngumi umpige. Kifo chake kimetokana na uzembe wake marehemu. Hii sio mara ya kwanza kusikia wababe wa ngumi wakiuwawa kisa ubabe wao.sasa na yeye ngumi kila mahali?tujifunze japo alikosea kumuitia mwizi.rip
Na marehem hashind kesSiku zote marehemu ndo waga mchokozi.