Rafiki wa Mashali aeleza alichozungumza na Mashali wakati yupo hospitali

Rafiki wa Mashali aeleza alichozungumza na Mashali wakati yupo hospitali

Kuna Kitu kinafichwa. Anyway nina stress za kukosa mkopo.
 
Natamani kabla ya kifo chake tungempa mechi na Scorpion, maana wanasema Scorpion mkiwa wengi ndio anafurahi
 
Yaleyale ya kula chips kuku mzima muuza chips akmdai anampiga...lala unapostahiki mkaka Lulu Kimwana anakulilia vya ajabu huko insta
 
Shame! So dereva bodaboda yuko na amani kabisa now that jamaa kafariki? Atasema sio yeye ni raia. Yaani hatari sana jamani watu waache uchungu wa maisha kutupia watu wengine. Lakini pia ubabe mwingine sio nzuri jamani
 
Angejua kuwa makomandoo na weledi wa martial arts wala huwa hawapigani hovyo hovyo mabarabarani na kwenye mabaa ingemsaidia sana. Anyway, safari yake imeshakamilika. Apumzike kwa amani.
Mtaani hakuna cha ubondia wala u tai chi wala taikondo huku ni ujuzi wa kutumia zana na mawe tu.wababe kibao wanakalishwa mamamae piga nondo ya ugoko mwenyewe lzma uwe mpole....halla kwa wana wote wa devis konA, tandika relini,yombo dovya, makangarawe,yombo buza kwa lulenge,buza kanisani,kipela,capetown,changulu,kirakala mpk machimbo.....Rip Mashali,poleni wana familia.
 
buku tatu tu tjifunze saikolojia jaman kuepusha kudanja kuboya
 
Kuanzia Leo nimefuta hii myth, eti wanamasumbwi, kungfu huwa ni wapole na wanaweza kudhibiti hasira zao! Uongooo labda huko ulaya
 
sasa na yeye ngumi kila mahali?tujifunze japo alikosea kumuitia mwizi.rip
Marehemu alaumiwi lakini ukweli lazima usemwe kama walikubaliana bei ya 3000/- kabla na yeye akagoma alipofika kisha ukazuka ugomvi huo jamaa alikuwa mnyanganyi kwa kutumia silaha ambayo ni ujuzi wake wa ngumi kwa hivo alikuwa mwizi kweli. Fedha umdhulumu na ngumi umpige. Kifo chake kimetokana na uzembe wake marehemu. Hii sio mara ya kwanza kusikia wababe wa ngumi wakiuwawa kisa ubabe wao.
 
Siamini hii chai ya buku ngumu zilie na MTU maarufu kama huyu auwawe waweke uchi chanzo waache kuleta chai.

Mungu amlaze pema
 
Back
Top Bottom