mkuu, it is the truth and nothing but the truth
inauma sana uchungu
Mimi hapo nimepapenda, kumbe asingekuwa mtu wa karibu ungemkubalia? Duh! kazi ipo kwenye ndoa zetu
Hivi rafiki wa mume wako inakuwaje awe anakupigia wewe simu?
Kwangu haimake sense hata kidogo. Rafiki wa mume ni rafiki yake yeye na ibaki hivyo. Na rafiki zako wewe mwanamke wasiwe na mawasiliano na mume wako na ibaki hivyo
zingatia ushauri huu haraka dada,usipende kushtakshtak utakuja jutia,lakin pamoja na hayo kunajinsi unavomtega huyo jamaa...either kwa kumkalia vibaya,kumlegezea macho lakin kama yana mvuto,kmbania pua,kumkonyeza au kumponda mmeo huku akiwepo..si bure.Personally, huwa sipendi kabisa mke wangu anambie habari za nani amemtongoza au anamtaka. Maana kwanza inanipa mashaka kama kweli jamaa hajala. Maana anaweza kuwa ananambia kama sehemu ya kujilinda yeye binafsi, pili inaweza kuwa ni kinga, ili siku nyingine ukiona message mbaya kutoka kwa jamaa usiwe na la kusema, maana ukimuuliza atakwambia "si nilikwambia kwamba ananitongoza?" I hate it! Mke wangu ni mtu mzima, afanye maamuzi yake mwenyewe, wala asinihusishe mimi juu ya yale anayojibizana au wanayokubaliana na dume lake huko. Hata mimi nina madada wanaonitaka na simwambii yeye. So kama mme wake ni wa aina kama yangu, ni bora kutokusema kabisa. otherwise timbwili linaanza!!
zingatia ushauri huu haraka dada,usipende kushtakshtak utakuja jutia,lakin pamoja na hayo kunajinsi unavomtega huyo jamaa...either kwa kumkalia vibaya,kumlegezea macho lakin kama yana mvuto,kmbania pua,kumkonyeza au kumponda mmeo huku akiwepo..si bure.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.
kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.
Duh kwahiyo wale viwembe wanaofata kila mtu na kudhani kila mtu atawakubali siku hizi hawapo???, tena ukizingatia alishapiga kinywaji.., hapa naona.... We are blaming the Gun instead of the ShooterKweli kabisa,Lazma alishapiga mahesabu yake, na jinsi unavyobehave kwake akajua lazma utakubal tu, vinginevyo asingethubutu hata kukutongoza tena alipie na chumba kabisa mhhhh miamekudharau sana sana.Wala usimwambie mumeo, jipange mwenyewe ulimalize.
Kisasangwe
Na utakuwaje na miadi ya kukutana na rafiki wa mumeo bila ya mumeo kuwa na taarifa?
If this story is true....Kisasangwe
Na utakuwaje na miadi ya kukutana na rafiki wa mumeo bila ya mumeo kuwa na taarifa?
.Duh hapa kuna shida kubwa. Inaelekea mmekuwa na mgongano wa 'mawasiliano' (ya alama) kwa muda mrefu na huyo shemejio. Most likely kuna signals kutoka kwao alikuwa anazitafsiri ndivyo sivyo au pengine hukuwa umemaanisha kuzituma signal hizo kwake.
Kama mpaka aliandaa na chumba maana yake alikuwa amekusoma kama 'maji mara moja' au wengine wanasema 'maharage ya mbeya' (if you know what I mean!). Ni vema ukajitizama upya jinsi unavyo behave mbele yake au mbele za watu. Lakini inawezekana everything is fine with you isipokuwa huyo mwanaume ni mkware tu.
hili mwalimu nadhani linawezekana kutegemeana na mazingira husika,
tatizo linaweza kuwa kwenye hiyo mada itakayozungumzwa tu..........................
Moja ya makosa makubwa ambayo tunayafanya wanadamu ni kuamini unachohisi,fahamu na kumbuka unachofikiri ni mawazo yako na hayana uhusiano na ukweli,unapofanya maamuzi kutokana na unachofikiri kikawa wrong sijui utafanya nini!Kuwa makini sana na unayofanya na kuamua!Nimeisoma yote! Jamaa wametuchana sana.....hebu angalia issue ya Radar...na JF inavyoendeshwa ....pathetic....Back to the topic....unajua waandishi wa tamthilia wamekuwa wengi sana JF...I dont buy this piece of commedy
Nakubaliana nawe..kuna dada hapa JF ameshauri wanawake watumie akili zao kufikiria sio vinginevyo..haingii akilini kuwa mwanaume anashida badala kuomba msaada toka kwa rafikiye aombe kwa mke wa rafikiye...ok imeshatoke na iwe fundisho kwa wote. Recipe ya tatizo imeanza na mawasiliano ambayo supposedly yalikuwa honest kati ya familia mbili...shida ni channels iliyokuwa ikitumika...kwa mawasiliano yenye tija ni lazima head of the house ashirikishwe and not otherwise.Hivi rafiki wa mume wako inakuwaje awe anakupigia wewe simu? Kwangu haimake sense hata kidogo. Rafiki wa mume ni rafiki yake yeye na ibaki hivyo. Na rafiki zako wewe mwanamke wasiwe na mawasiliano na mume wako na ibaki hivyo
If this story is true....
je huwezi kumsikiliza rafiki ya mume wako akikuita ili aombe ushauri..? maybe anataka ushauri ambao mwanamke ndio anaweza akautoa hususan kama hio issue inahusu mke wake.., au anakutafuta hili mumfanyie surprise mume wako ya birthday.. Hivi kweli tumefikia wakati wa kutokumuamini mtu yeyote na kuomba ruhusa ya kila tunachofanya?
Mkuu ikija kwenye issue ya authenticity ya habari humu JF I can guarantee you that 80% ni Fiction; lakini uzuri wa mambo ushauri unaoweza kutoa hapo unaweza kumsaidia mwingine.....JF...I dont buy this piece of commedy