Kwanza pole, halafu hongera kwa ujasiri wa kukutana na shemejio bila mumeo kuwepo. Hii ndiyo tabia inayowaponza wanawake walio wengi kwani hupenda kuamini haraka bila tahadhari. Pili inawezekana unatabia ya kuwazoea watu ndiyo maana akawa na ujasiri wa kukutongoza. Tatu inawezekana ni tabia ya kishenzin tu ya huyo shemejio aliyo nayo.