Rafiki wa Rais Samia kugombea Urais wa Marekani 2028. Akishinda lazima Rais Samia aalikwe kama Mgeni wa heshima katika uapisho wake mbele ya Dunia

Ndugu zangu Watanzania,

Rafiki wa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Kamala Harris Ameweka Wazi nia yake ya kufikiria Uamuzi Wa Kugombea Urais wa Marekani Mwaka 2028.

Ambapo Mgombea huyo Mwanamama hodari ,Mahiri ,shupavu, Madhubuti na mwenye uwezo mzuri wa kujenga hoja ,ushawishi amesema ya kuwa kipindi cha miaka minne alichohudumu kama Makamu wa Rais chini ya uongozi wa Joe Biden kimempatia Uzoefu juu ya Majukumu ya Urais .

Lakini pia anatambua na kuelewa vyema nini mahitaji na matarajio ya wananchi. Ambapo Amesema wananchi wanataka matokeo na siyo michakato mirefu ya kiserikali.

Ambapo ukisikiliza Hotuba yake unaweza kufikiria pengine Mwana mama huyo ni Msikilizaji na mfuatiliaji mzuri na mkubwa sana wa Hotuba za Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.kwa sababu vitu na mambo ambayo ameyazungumza Mwana Mama huyo Kamala Harris ndio Ambavyo vimekuwa vikifanywa na kutekelezwa na Rais wetu Mpendwa.

Ambapo mara nyingi sana sote watanzania tumemsikia Rais wetu Akisema anataka kuona watanzania wanapata hudumu stahiki ,bora kwa wakati bila kuchelewa wala kusuasua. Amekuwa ni mfuatiliaji mkubwa na makini sana katika kuhakikisha kuwa Mwananchi anafikiwa na watumishi wa serikali kwa wakati na kupewa majawabu kwa kero zao na siyo habari za ngonjera za michakato ya kiserikali.

Ikumbukwe ya Kuwa Kamala Harris anamkubali sana Rais wetu Mpendwa na ndio sababu alipofanya ziara hapa Barani Afrika aliichagua Tanzania kuja kuitembelea na kuziruka nchi nyingi za Afrika. Alikuja kuona na kupata hekima za kiuongozi kutoka kwa Rais wetu.

Alikuwa anatambua mchango Chanya wa Rais wetu katika Mapinduzi ya kiuchumi ,kukuza na kuongeza fursa za ajira kwa vijana,kutokomeza na kupunguza vifo vya Mama na Mtoto,kuongeza wigo wa Elimu kwa mtoto wa kike Hususani wale ambao walikuwa wamekatisha masomo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwepo kubeba ujauzito.

Alikuwa anatambua juhudi Chanya na za makusudi za Rais wetu katika kumtua ndoo mtoto wa kike na mwanamke wa kiafrika,matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kuondoa vifo vya akina mama ,ubakaji kwa Watoto wakike Hususani wakati wanakwenda na kusafiri umbali mrefu kutafuta kuni ama maji.

Kuboresha huduma za afya ,Elimu ,maji n.k. kutoa mikopo kwa akina Mama,vijana ili kuwainua kiuchumi na kuwaondolea habari za utegemezi wa kipato. Kamala Harris alikuwa anatambua juhudi nyingi sana zilizokuwa zikiendelea kufanywa na Rais wetu Mpendwa. Ndio Maana aliamua kuweka kituo hapa Nchini ili kuonana ana kwa ana na Rais wetu Mpendwa.

Hivyo ni Imani ya Watu wengi sana na sote tutarajie kuwa Kamala Harris akishinda urais wake atamualika Rais wetu Mpendwa kuhudhuria kama mgeni wa Heshima .ambaye atapata na kupewa nafasi ya kutoa hotuba yake mbele ya macho ya Dunia kama ilivyofanyika kule Namibia ambako RAIS wetu kipenzi alipewa nafasi hiyo ya heshima.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Itabidi mama Samia aoge sana kuondoa tope alilo nalo la Oktoba29 kabla ya kuonana na mtu yeyote wa mana Marekani.
Matukio ya siku hiyo yametuvunjia heshima iliyojengwa kwa muda mrefu kwa akili na umakini na kidplomasia kwa kipindi kirefu baada ya uhuru.
Halafu mtoa mada ujue, Marekani kuna Permanent Interest na hakuna urafiki kule, ukiona unaalikwa alikwa huko ujue unatolewa steki ya madini.
 
Oya..huwa naona kama unamchoresha huyo Samia
 
Itabidi mama Samia aoge sana kuondoa tope alilo nalo la Oktoba29 kabla ya kuonana na mtu yeyote wa mana Marekani.
Matukio ya siku hiyo yametuvunjia heshima iliyojengwa kwa muda mrefu kwa akili na umakini na kidplomasia kwa kipindi kirefu baada ya uhuru.
Halafu mtoa mada ujue, Marekani kuna Permanent Interest na hakuna urafiki kule, ukiona unaalikwa alikwa huko ujue unatolewa steki ya madini.
Taifa letu Halijachafuka na Rais wetu ni Safi mwenye mikono safi
Na ndio Maana ameendelea kuungwa Mkono kutoka kila pembe ya Dunia Hii.
 
Marekani haiwezi kuongozwa na Mwanamke.
Jipe Muda utaona kinachokwenda kutokea. Dunia imeona mfano wa uchapakazi kwa Rais Samia na ni RAIS Samia ambaye kwa sasa kawatengenezea Njia nyeupe kabisa Wanawake kushika nyadhifa kubwa za kiuongozi
 
Taifa letu Halijachafuka na Rais wetu ni Safi mwenye mikono safi
Na ndio Maana ameendelea kuungwa Mkono kutoka kila pembe ya Dunia Hii.
Hayo ndiyo matokeo ya kuishi Ikulu, kila siku mambo mswanu!
Sasa niambie , Kamala Hariss kaafiki lita ya mafuta inauzwa $8,000 huko Marekani?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rafiki wa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Kamala Harris Ameweka Wazi nia yake ya kufikiria Uamuzi Wa Kugombea Urais wa Marekani Mwaka 2028.

Ambapo Mgombea huyo Mwanamama hodari ,Mahiri ,shupavu, Madhubuti na mwenye uwezo mzuri wa kujenga hoja ,ushawishi amesema ya kuwa kipindi cha miaka minne alichohudumu kama Makamu wa Rais chini ya uongozi wa Joe Biden kimempatia Uzoefu juu ya Majukumu ya Urais .

Lakini pia anatambua na kuelewa vyema nini mahitaji na matarajio ya wananchi. Ambapo Amesema wananchi wanataka matokeo na siyo michakato mirefu ya kiserikali.

Ambapo ukisikiliza Hotuba yake unaweza kufikiria pengine Mwana mama huyo ni Msikilizaji na mfuatiliaji mzuri na mkubwa sana wa Hotuba za Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.kwa sababu vitu na mambo ambayo ameyazungumza Mwana Mama huyo Kamala Harris ndio Ambavyo vimekuwa vikifanywa na kutekelezwa na Rais wetu Mpendwa.

Ambapo mara nyingi sana sote watanzania tumemsikia Rais wetu Akisema anataka kuona watanzania wanapata hudumu stahiki ,bora kwa wakati bila kuchelewa wala kusuasua. Amekuwa ni mfuatiliaji mkubwa na makini sana katika kuhakikisha kuwa Mwananchi anafikiwa na watumishi wa serikali kwa wakati na kupewa majawabu kwa kero zao na siyo habari za ngonjera za michakato ya kiserikali.

Ikumbukwe ya Kuwa Kamala Harris anamkubali sana Rais wetu Mpendwa na ndio sababu alipofanya ziara hapa Barani Afrika aliichagua Tanzania kuja kuitembelea na kuziruka nchi nyingi za Afrika. Alikuja kuona na kupata hekima za kiuongozi kutoka kwa Rais wetu.

Alikuwa anatambua mchango Chanya wa Rais wetu katika Mapinduzi ya kiuchumi ,kukuza na kuongeza fursa za ajira kwa vijana,kutokomeza na kupunguza vifo vya Mama na Mtoto,kuongeza wigo wa Elimu kwa mtoto wa kike Hususani wale ambao walikuwa wamekatisha masomo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwepo kubeba ujauzito.

Alikuwa anatambua juhudi Chanya na za makusudi za Rais wetu katika kumtua ndoo mtoto wa kike na mwanamke wa kiafrika,matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kuondoa vifo vya akina mama ,ubakaji kwa Watoto wakike Hususani wakati wanakwenda na kusafiri umbali mrefu kutafuta kuni ama maji.

Kuboresha huduma za afya ,Elimu ,maji n.k. kutoa mikopo kwa akina Mama,vijana ili kuwainua kiuchumi na kuwaondolea habari za utegemezi wa kipato. Kamala Harris alikuwa anatambua juhudi nyingi sana zilizokuwa zikiendelea kufanywa na Rais wetu Mpendwa. Ndio Maana aliamua kuweka kituo hapa Nchini ili kuonana ana kwa ana na Rais wetu Mpendwa.

Hivyo ni Imani ya Watu wengi sana na sote tutarajie kuwa Kamala Harris akishinda urais wake atamualika Rais wetu Mpendwa kuhudhuria kama mgeni wa Heshima .ambaye atapata na kupewa nafasi ya kutoa hotuba yake mbele ya macho ya Dunia kama ilivyofanyika kule Namibia ambako RAIS wetu kipenzi alipewa nafasi hiyo ya heshima.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wakati huo li kiIzimkazi litakuwa lime kufanya, au limepata stroke lipo limelala halijitambui!
Nimemsikiliza Dr Lyoba aliyekuwa DG wa TBC akimpamba Samia, nikalinganisha na Ryoba niliyemjua aliyekuwa akidadavua Mambo kipindi cha Today in perspective, cha Simbeye, Daaaa! Nimepata mshituko, nikawaza jinsi pesa na video, vinaweza vikafanya mtu aka wa mjinga anatema uharo tu, kwa, jinsi, pesa, ilivyo na nguvu, Dr Ryoba yupo tayari akae darasani afundishwe political science, na Makonda, na atamsifia kuwa ni Profesa, mzuri Sana!
 
Jipe Muda utaona kinachokwenda kutokea. Dunia imeona mfano wa uchapakazi kwa Rais Samia na ni RAIS Samia ambaye kwa sasa kawatengenezea Njia nyeupe kabisa Wanawake kushika nyadhifa kubwa za kiuongozi
Kwa namna huyo mamako alivyoboronga kuongoza nchi itachukua karne kadhaa kwa wanawake kupewa nafasi kubwa hivyo tena hapa Afrika!!!.
 
Back
Top Bottom