Rafiki wangu amegundua mke wake anajihusisha na usagaji. Anaomba ushauri wenu

Rafiki wangu amegundua mke wake anajihusisha na usagaji. Anaomba ushauri wenu

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Ipo hivi Nina rafiki yangu wa karibu sana, tunashirikiana mambo mengi sana , ukaribu wetu umefanya familia zetu pia ziwe karibu . Hii linafanya hata yanapotokea matatizo ya ndoa kwangu au kwake tuwe tunashirikishana na kushauriana hata kusuluhisha.

Twende kwenye case yenyewe ( fact of the case) , kumekuwa na migogoro mingi na ya muda mrefu kwenye ndoa yao na mingi nimeshiriki kuwapatinisha.

Pamoja na Hilo la mimi kushiriki shida zao kama wanavyofanya kwangu, jamaa hakuwahi niambia jambo hili ( mke kumyima uchi) kumbe kwa kisingizo Cha mke kuwa mgonjwa au mçhovu au mtoto ni mdogo ,takribani mwaka sasa mshikaji baada ya kuvumilia naye amekuwa mtu wa kupiga hawa wanawake wa mpango kando .( Hili pia limenishangaza sana unawezaje ishi na mke mwaka mzima na miezi hupigi inawezekanaje sasa, nimegundua mshikaji jasiri sana)..


Juzi juzi mshikaji aliamua kufuatilia mke wake Kuna nini na Kwa nini hampi papuchi wakati wapo ndoani na kazi ya mke ndoani ni kutoa kadri awezavyo . Matokeo yalikuwa ya kushitua sana mshikaji aligundua mke ni msagaji na mbaya anasagana na jirani yake ambaye kiufupi ni sister flan hardcore , jamaa alijuaje ni baada ya kuchukua simu ya mke na kuona picha, charting nk jamaa akijifoadia, baada ya mshikaji kufikiria kanita eti niwe shahidi ana mfukuza mke ,

So nimeenda pale na kumsihi asimfukuze mke lakini baada ya jamaa kunionyesha picha na chartings za mke na huyu sister namuliza mke ana kiri ni zake nimeondoka na nimewaomba wavumiliane hadi kesho kichwa kinauma , nimeshauri mke tu asilale e pale anaweza chinjwa , niwashauri nini tuokoe ndoa hii japo ningekuw mimi nisengeshaurika
 
Kizazi cha hovyo sana wanawake wamejaa ujinga sana kule unakuta kuna mwanamke analalamika wanaume sio wawajibikaji wanapenda kulelewa haya hiki nini?
 
Suluhisho ya hiyo ndoa ni jamaa amfukuze mke wake akuoe wewe.
Suluhisho ya hiyo ndoa ni jamaa amfukuze mke wake akuoe wewe.
Unatumia ****** kufikiria ee, mashoga mna kazi sana huku duniani na mtapata tabu sana mbinguni katika uto**" mbwaji wako umewaza tu kuolewa unapotuona wanaume wenzako unawaza tutakuoa na unaona fursa kwetu eti we ******, wengine hatupo tayari kupata laana za kijinga kupiga mtandao wako pendwa jipige vijiti kama unawashwa
 
Tafuta mwanamke mwingine kina salama Jabir hawajaolewa nenda kamuoe katulia yule
 
Kamwe usisamehe au kukaa karibu na Mashoga au wasagaji...
 
Duh! Ila hii dunia ina mambo sana, huyo anahitaji msaada wa hali ya juu msimuhukumu na kumfukuza bila kumsaidia kuondokana na hiyo hali
 
Back
Top Bottom