Rafiki wangu amegundua mke wake anajihusisha na usagaji. Anaomba ushauri wenu


Ushauri hapa hakuna, acheni kuwa wanaume dhaifu, kama wewe ni mwanaume unamhudumia kila kitu mke na yeye akuhudumii maitaji yako kama mwanaume, ONDOKA! Akapate Huduma zote huko anapopewa za hisia.
 
Kubali kwanza kuwa mkweli wewe ndiye mhusika wa hii kitu yaani mkeo ndo anasuguana visimi na wanawake wenzie
 
Usifikiri mara mbili, mwambie aachane naye. Kwanini anashindwa kuwa na maamuzi ya kiume?, utaendelea vipi kuishi na msagaji ilihali ushagundua tayari!.
 
Inawezekana umemtumia rafiki kuficha uhusika wako. Lakini tambua wanawake wengi wazuri wapo ambao wako tayari kwa kuanzisha familia. Familia siyo rahisi lakini si ngumu kama Hali unayoipitia wewe au huyo rafiki yako kama unavyotilueleza.
Ushauri wangu ni mmoja.
Jipe miezi mitatu ya kukaa mbali naye yaani mpe likizo ya yeye kwenda kwao. Unaweza kumwambia twende tukasalimie nyumbani Kisha unamuacha huku huko. Au mtume akasimamoe hata shamba kijijini kwao. Hakikisha haendi kwenu.
Kiufupi kaa nae mbali kwa Sasa ili maamuzi yako yawe ya utulivu, hakima na yasiyo na majuto kwako. Usifanye maamuzi kwa kupewa tendo maana Sasa hivi atakuwa anakuhudumia mpka utasema huyu ndo mwanamke Sasa kwasbbu ushajua tatizo lake.
Kila lakheri.
 
😏😏Haaachane na hiyo piece of kinyesi ,huyo kaanz hawezi kuacha milele, 😏😏😏😏😏😏😎😎😎
 
Tafuta mwanamke mwingine kina salama Jabir hawajaolewa nenda kamuoe katulia yule
We usimjaze kwenye mtikatika...ukimuoa salama usiku unalala jicho moja wazi..na vijiko na uma unaweka matako### ni iwe kama alarm akikushika ..maana huwez jua ukilala atafanya nini
 
Kama jamaa anajiweza, awawekee mtego, awapige 3some ya kibabe, kiasi waone umuhimu wa UKUNI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…