Rafiki yangu amekufa kwa ukimwi

Use condom,abstain or be faithful to one partner..
 
sijui madaktari hawaoni hii potential project
wakate kichwa waweke cha panzi afu tuone labda mawimbi yatabadilika

Mi siwezi kufa kwa ukimwi kwasababu nazingatia masharti ya kujikinga.
 
Nasikia kwenye sexual intercourse knachosababisha maambukizi ni michubuko..kwahiyo ukila kavu ukakojoa haraka kabla hujachubuka umepona! ila ukijifanya fundi ukasugua sana ndio mwanzo wa kupata ngoma!

Halafu osha ile jamaa chap chap na maji na sabuni'ahhh'kwa njia hiyo tutafika mbali wengi ndivyo tunavyopona
 
huzuni yangu kubwa wewe ni moja ya tatu walioamua kuweka wazi ingawa tathimini inaonyesha wasiopima ni wengi wanaumwa kaugonjwa kuliko waliopima na wanaoendelea na dose
mvua jamani jangwani imejaa tena
 

Elli hii mbona ipo kwenye kitabu bana
 
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????
khaaaa sikuelewi mm au mlikuwa na tabia ya kupiga mande tena usikute kavu kavu ,pole sana nenda kapime mkuu ujijue kabisa.
 
huzuni yangu kubwa wewe ni moja ya tatu walioamua kuweka wazi ingawa tathimini inaonyesha wasiopima ni wengi wanaumwa kaugonjwa kuliko waliopima na wanaoendelea na dose
mvua jamani jangwani imejaa tena

Mkuu hilo la mvua ni mafumbo kwenye hii topic au ni mvua real real?
 
jamaa alikuwa mtu wa karibu sana'alikuwa fresh ila kidogo kidogo kuugua mademu sigara pombe'jamani tutapona'yaani mimi hapa bado wazo la kwenda kupima halipo kabisa wakuu
 
Kaugua ghafla na kufa?Doctor kawaambia ni ukimwi?je mpaka hapo hukuwa na swali lolote la kumuuliza?Anyway poleni sana
 
usiwe na wasiwasi kama hujachangia naye demu na nyendo zako ni safi. Vipi kama utaambukizwa wakati umeenda kupima au ukapewa majibu mbayo si yako.
sawa sawa FA hata mimi matumizi ya kondomu nayaogopa acha.....bora kupima than put ON!
 
Kwenye wasifu wa marehemu wekeni wazi kwamba ngwengwe ndio imemuua,ili vijana wetu wajue kwamba UKIMWI upo na unakill.

siku hizi ukimwi unaitwa 'ngwengwe'? Du!
Yote kwa yote RIP Marehemu,Mungu ailaze roho yake mahali pema,Amin.
 
Elli hii mbona ipo kwenye kitabu bana

Ni kweli kama umekisoma kitabu kinaitwa ORODHA lakini nikwambiacho ni cha kweli, ila kwasababu jamaa ameshatangulia sitataja jina ila ni Lushoto miaka ya 2004-6 uliza utaambiwa Mpwa! Ukitaka more facts ni-PM ila uwe mwaminifu yeye katangulia bado sie! Tujitunze ndio ushauri wangu! Kitabu nilikisoma na kilifanana kidogo na nilichosema ila huyu mhusika ni ME na kitabu ni FE. sIWEZI leta story za vitabu hapa jamvini unless ni reference
 
Kwenye wasifu wa marehemu wekeni wazi kwamba ngwengwe ndio imemuua,ili vijana wetu wajue kwamba UKIMWI upo na unakill.

he he he utafanya watu waondoke msibani gafla...unaweza kuta wamepitia vifaa alivyokuwa anakula jamaa au walikuwa wanagongwa na jamaa
 
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????
mpendwa pole sana.
ila post yako me imenicontradict et, kwan mlikuwa marafik wa vp ?
maana hujui ulie au ufanyeje, hujui 2tapona?
ila pole sana mpendwa. sio mwisho wa maisha. mungu akutie nguvu uyashinde yote ktk yy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…