Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????
Kalalamikie huduma ya afya, maana kama mtu anaumwa na hawezi kumeza dawa, kuna utaratibu mwingine wa kuziingiza dawa ndani ya mwili kwa njia ya sindano.
Na kama hawezi kula, basi kunanjia ya kumlisha mgongwa kwa mlija.
Hivi hao madokta huko tanzania wanasomea nini? kuwaacha watu wafe bila kuwapa huduma? au kukaa maofisini bila vifaa ya matibabu hahahah!!!! kufeni tu,,, au kimbieni nchi kama nilivofanya mie. Mie naishi nchi yenye watu wenye akili timamu. Hamna kufa hovyo, mungu awanusurishe