Rafiki yangu amekufa kwa ukimwi

Rafiki yangu amekufa kwa ukimwi

nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????


Kalalamikie huduma ya afya, maana kama mtu anaumwa na hawezi kumeza dawa, kuna utaratibu mwingine wa kuziingiza dawa ndani ya mwili kwa njia ya sindano.

Na kama hawezi kula, basi kunanjia ya kumlisha mgongwa kwa mlija.

Hivi hao madokta huko tanzania wanasomea nini? kuwaacha watu wafe bila kuwapa huduma? au kukaa maofisini bila vifaa ya matibabu hahahah!!!! kufeni tu,,, au kimbieni nchi kama nilivofanya mie. Mie naishi nchi yenye watu wenye akili timamu. Hamna kufa hovyo, mungu awanusurishe
 
Tumia dawa za ARVs na inshaalah utakuwa na maisha mazuri. Usiwe na wasiwasi coz Ukimwi ni kama homa nowadays.
 
Mfiwa huwa halii, hukaa kimya akitafakari kitakachofuata. Ukiona mtu analia, uje anajililia mwenyewe. Hata vitabu vya dini vinatukumbusha kuwa wafu hawajui lolote. Kwa mantiki hiyo, hata kama utamlilia yeye hasikii chochote, ni vizuri kujililia kama unavyofanya.
 
Pole sana kwa kufiwa, pole kamanda

Jambo moja la kufahamu ni kwamba kila mtu atakufa kwa muda wake. Hupaswi wala hustahili kulia japo ni hulka ya binadamu kulia na kuudhunika hasa pale anapoondokewa na mpendwa wake (rafiki, baba, mama, ndugu n.k). Endapo kifo kikitokea kwa yeyote uliyekaribu naye, kwanza mshukru Mora kwa hilo kutokea, pili jiulize kwanini amekufa na sio wewe lakini tatu jiandalie mazingira mazuri ya kutokufa haraka lakini hata ikitokea hakikisha huna deni kwa wanajamii na kwa Muumba wako (tubu).
 
Pole sana mkuu..
wengi wataukuwa wamejifunza kutokana na hili..
Jihadhari kabla ya hatari ...
 
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????

Pole litakuwa kosa la marehemu tu usilie
 
Kwani kupima ndio kupona? Hapa dawa ni kuacha kugonga kavu na ovyo ovyo, kuwa mwaminifu na hata huyo ulienae TUMIA CONDOM wala usimwamini ng'o km vp subiri ndoa.
Hao wa kwenye ndioa ndo wanaongoza kwa mdudu
 
Back
Top Bottom